Tulonge

Chaoga ndiye mdau aliyepata bahati ya kutufungulia kipengele hiki. Toa maoni yako juu yake.

Views: 1118

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

je kaka Chaoga wewe ungekuwa ndo mngombea nafasi ya urais kwa chama chochote pinzani ungewaahidi mambo gani wananchi ambayo yangeweza kukupa wewe nafasi kubwa ya kushinda nafasi hiyo kwa kishindo kwa kukitoa chama tawala.
Naomba unitajie jina la demu wako hapa kijijini.
Una watoto wangapi kaka?
Mtani wa jadi mimi napenda kujua pesa zako unazihifadhi wapi? maana wewe na Benki ni kama maji namoto
mkuu nyau bungala meseji senti ha ha ha ha haa

likoni nyau said:
kaka kwanza hongera kwa kuinua pato la taifa[ kwa kunywa vimiminika vya wakubwa] laiti kama wadau wote tungefata nyayo zako basi umasikini ktk taifa letu leo hii ingekua historia, pongezi zangu za pili kwako ni ujasiri wako wa kuwapa ridhiki vijana wetu vinyozi[nywele hazioti kabisa],ushauri wangu kwako bado tuna kupenda punguza mwili kidogo japo kwa joging za kila jpili,uko unakoelekea isije shemeji hakarudi MATOMBO bure kwa kushindwa kumpa LIGWALIDE lake na kukaribisha yule jamaa SHELL wa kule mitaa ya BP. Nakutakia kazi njema na maisha marefu.
kaka magere kutokana na majanga ya moto yatokanayo na kutumia mishumaa na vibatari kwa sababu ya ukosefu wa umeme wa uhakika hivi sasa nimegundua umuhimu wa kuhifadhi fedha benki ingawa mpaka sasa nina miliki kadi 4 za benki tofauiti ili kuondokana na usumbufu wa foleni wakati wa kuchukua kilicho changu.

Don M said:
Mtani wa jadi mimi napenda kujua pesa zako unazihifadhi wapi? maana wewe na Benki ni kama maji namoto
aiseee belita hili swali ndio nilikuwa nalisubiria mimi nina mtoto mmoja tu ana miaka 5 mpaka sasa, ila naomba dua zako kwani mambo yakienda vizuri kabla ya christmas mwanangu atapata mdogo wake.....tuombeani heri asije jifungulia getini mwananyamala

Belita said:
Una watoto wangapi kaka?
mmh dada agnes yaani mie naamini kama ningegombea nafasi hiyo, basi wanachi wote kwa ujumla nigewaahidi serikali ya majimbo tu, kama marekani naamini hiyo ndio ingefanya watu tuzamie humu humu nchini kwetu badala ya kukimbilia ng'ambo

Agnes Nyakunga said:
je kaka Chaoga wewe ungekuwa ndo mngombea nafasi ya urais kwa chama chochote pinzani ungewaahidi mambo gani wananchi ambayo yangeweza kukupa wewe nafasi kubwa ya kushinda nafasi hiyo kwa kishindo kwa kukitoa chama tawala.
kaka severin hilo swali sina jibu limekaa kiuchokozi mno....

Severin said:
Naomba unitajie jina la demu wako hapa kijijini.
Chaoga naomba nijue ratiba yako kwa siku unaamka saa ngapi na kulala, pili naomba kujua unatumia masaa mangapi kuwepo kwenye internet na je una activity yoyote unayoifanya baada ya kazi? hobi yako ni je umeweza ku reach one of ur goal!

Nitashukuru kwa majibu huku nikiandaa maswali mengine!
Nashukuru kwa jibu lako zuri kakaangu unafaa kugombea.
saya eeeeh majibu ya maswali yako ni kama ifuatavyo
mie huwa naamka asubhi saa moja kasoro siku zote 365 na naripoti saa mbili ofisini, kulala sijawahi kulala chini ya saa nne usiku kwa hiyo hapo nadhani jibu unalo mwenyewe. kwenye intarnet mara nyingi mchana ndio napatikana sana karibia masaa yote na siku nikiwa nimewahi kufika home mapema basi napatikana usiku kucha. kwakweli zaidi ya kazi niifanyayo sasa hakuna nyingine niifanyayo nimejaribu kuanzisha miradi mbalimbali lakini kutokana na usimamizi mbovu wa niliowaweka na kukosa muda wa kufuatilia basi yote imekufa. hobi yangu mie ni kuwa na marafiki wengi kama wewe saya ambao tunaweza badilishana mawazo ya kimaendeleo. mpaka sasa dada saya kwakeli kitu ambacho najivunia ni kuwa na familia na mie naitwa baba ahsante saya kama una lolote swali wee ni twange tu

Mtemi said:
Chaoga naomba nijue ratiba yako kwa siku unaamka saa ngapi na kulala, pili naomba kujua unatumia masaa mangapi kuwepo kwenye internet na je una activity yoyote unayoifanya baada ya kazi? hobi yako ni je umeweza ku reach one of ur goal!

Nitashukuru kwa majibu huku nikiandaa maswali mengine!

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*