Tulonge

Chaoga ndiye mdau aliyepata bahati ya kutufungulia kipengele hiki. Toa maoni yako juu yake.

Views: 640

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Kaka mimi sina swali, kwani yale ya msingi yote ninayo majibu yake! Asante
ahsante ndugu yangu pascal.....
Asante kwa majibu Chaoga ubarikiwe sn sorry nina maswali mengine soon yanakuja naomba msaada wa haya, ni siku gani ulikuwa na furaha sna ambayo huwezi sahau maishani na ni siku gani ambayo ulikuwa na huzuni ambayo huwezi sahau maishani! kwa vitendo vipi??

Ukiwa na furaha sn unapenda kufanya nini na ukiwa na huzuni sn unapenda kufanya nini??
Chaoga nimeona kwenye wasifu wako kuwa ww ni mfanya biashara, una chochote ungependa wadau wakijue kuhusu biashara zako? Waweza kutujuza kuhusu eneo la biashara na biashara yenyewe. Hii itasaidia kupanua soko la biashara yako boss. Vile vile kama una ujuzi mwingine waweza tujuza.
@chaoga, mkuu nashukuru sana kwa kujibu maswali vzr, but according to the research ambayo imefanywa na wanaharakati huko USA inasema ya kwamba" watu wenye vitambi wana sifa zifuatazo,
1.wavivu
2.hawajui kucheza ndombolo
3.wakilala wanakoroma sana
4.wawapo kunako mambo flani yaani yale ya kiutu uzima huwa hawamalizagi mapema.
5.wanakua wabishi sana
6.wagomvi halafu ugomvi wao haushi mapema
7.kwa madem wao ndo nambar one.
8.wabahili kwenye kuhonga.
9.hawali sana
10.wanasinzia sana kazini

sasa kati ya sifa hizo hapo juu je mdau wetu "WAZIRI WA VILAJI WA KIJIJI CHA TULONGE" naamanisha "MR CHAOGA" ww una sifa gani na zipi ambazo huna.
@Dis tunaomba uwe unafanya back up ya majibu ya mr chaoga badae asije kuturuka.
Usijali Kunambi,hizi ishu lazima zifanyiwe backup

KUNAMBI Jr said:
@Dis tunaomba uwe unafanya back up ya majibu ya mr chaoga badae asije kuturuka.
swali namba 5,8,9 na 10 unaweza kidogo ikawa unafanana na ukweli ha ha ha haa, ila swali namba moja napingana nalo mpaka kufa sisi hivi vitambi vinatokana na kufanya kazi sana mpaka muda wa mazoezi tunashindwa kuupata sasa huo uvivu gani!!? kaka swali lako la pili litajibiwa siku yeyote ambayo kutakuwa na pati ya tulonge haha haa kukoroma mara moja moja ninapokuwa sijalala vizuri siku mbili mfululizo ( hasa ninapofululiza kuhudhuria mapati) swali lako namba nne naona jibu unalo swali namba saba kwakweli mie kama rijali kwa kweli huwa napenda kuuridhisha moyo wangu angalau kwa macho tu tehe tehe tehee

KUNAMBI Jr said:
@chaoga, mkuu nashukuru sana kwa kujibu maswali vzr, but according to the research ambayo imefanywa na wanaharakati huko USA inasema ya kwamba" watu wenye vitambi wana sifa zifuatazo,
1.wavivu
2.hawajui kucheza ndombolo
3.wakilala wanakoroma sana
4.wawapo kunako mambo flani yaani yale ya kiutu uzima huwa hawamalizagi mapema.
5.wanakua wabishi sana
6.wagomvi halafu ugomvi wao haushi mapema
7.kwa madem wao ndo nambar one.
8.wabahili kwenye kuhonga.
9.hawali sana
10.wanasinzia sana kazini

sasa kati ya sifa hizo hapo juu je mdau wetu "WAZIRI WA VILAJI WA KIJIJI CHA TULONGE" naamanisha "MR CHAOGA" ww una sifa gani na zipi ambazo huna.
saya siku niliokuwa nafuraha sana ni siku ambayo na mimi kuanza kuitwa baba (miaka 5 iliopita) na swali lako la pili dada saya mie kwa kweli nashukuru mpaka sasa sijawahi kuwa na huzuni ya kupita kiasi zaidi ya vitu vidogo vidogo ambavyo vina kuja na kupita na vinawatokea watu wangu wa karibu... ahsante

Mtemi said:
Asante kwa majibu Chaoga ubarikiwe sn sorry nina maswali mengine soon yanakuja naomba msaada wa haya, ni siku gani ulikuwa na furaha sna ambayo huwezi sahau maishani na ni siku gani ambayo ulikuwa na huzuni ambayo huwezi sahau maishani! kwa vitendo vipi??

Ukiwa na furaha sn unapenda kufanya nini na ukiwa na huzuni sn unapenda kufanya nini??
Hahahaahahahaha! Kumbe unajua hospitali zetu zilivyo??? Chukua tahadhari mapema andaa RUSHWA!!!

chaoga said:
aiseee belita hili swali ndio nilikuwa nalisubiria mimi nina mtoto mmoja tu ana miaka 5 mpaka sasa, ila naomba dua zako kwani mambo yakienda vizuri kabla ya christmas mwanangu atapata mdogo wake.....tuombeani heri asije jifungulia getini mwananyamala

Belita said:
Una watoto wangapi kaka?
Chaoga lini unaniletea mjukuu wangu?
Duhh Choga naona watu wanakusifia sana ulevi inaonyesha mnaundugu toka miaka ya nyuma sana au wanakufananisha na chupa ya bia ....lakini big up kama upo katika histiria ya tulonge.ning kwa kubahatika kuikamata nafasi ya kwanza katika mara ya kwanza ya program ya MDAU WA MWEZI ktk sever hizi za Tulonge. poa mimi naona fresh tu mwanangu zidi kuondoka na mwendo wa kunywa bia save water.pamoja kamanda

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*