Tulonge

Huu ni uwanja wa maoni juu ya mdau wetu wa wiki. Mpe ushauri, mtwange maswali, omba msaada nk kwa kuzangatia maadili mema.

Views: 672

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Hatimaye zamu yako leo,hebu tupe historia yako kwa kifupi mkuu.
Hahahahaaa.. Kweli yamekufika leo.. Hongera sana! Najua wenzangu walikuwa wanakusubiri kwa hamu sana kutokana na kuwakongóli wenzako maswali.. hahaaa .leo inakula kwako.. Ngoja nijipange then nirudi badae...
Hongera kaka kwa kuwa mdau wa wiki!
nikitoka kwenye kikao nakuja kujaa vibaya vibaya

hongera kwa kua mdau wa wiki

nasisitiza hoja ya severine, tupe historia yako...

Huyu jamaa mbona hatokei ?
huyu mtu nataka kujua kwanza yupo???? kama yupo akachukue kamusi kabisa naenda BAKITA nikirudi akae tayari
We bwana usitutanie.. hebu jilete watu wakukongóli maswali.. na ukijitokeza tu anza na kaka Severin, pili utueleze unajishughulisha na nini kusukuma gurudumu la maisha, tatu.. Ushauri wako juu ya kijiji chetu (ungependa kuwe na kitu kipya kipi? ) Nne.. umeoa au bado upo upo?

wakati unajibu hayo ngoja nipate chai then nirudi.
Huyu mjomba kaingia mitini nn?
mimi nimezaliwa chalinze, na nimekulia chalinze, nimesoma hapohapo chalinze elimu ya msingi na sec nimesoma lugoba pwani, ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto nane, kwa sasa ni muajiliwa wa kampuni fulani hapa dar, kikabila ni mpale wa mbaga, baba yangu ni mpale ila mama yangu ni mkwele,,,,, aksante kaka severin kwa swali lako fupi,,,lkn lina jibu leeeeeeefu,,,

Severin said:
Hatimaye zamu yako leo,hebu tupe historia yako kwa kifupi mkuu.
aksante kaka vitus,,,,

Vitus said:
Hongera kaka kwa kuwa mdau wa wiki!
mkuu nilikuwa mkoa kikazi sasa nipo usikonde tupo pamoko,,,

Tulonge said:
Huyu mjomba kaingia mitini nn?

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*