Tulonge

Huu ni uwanja wa maoni juu ya mdau wetu wa wiki. Mpe ushauri, mtwange maswali, omba msaada nk kwa kuzangatia maadili mema.

Views: 672

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

kaka dicked  wewe si mgeni na boni niliua simba kijenge nitakimbia na hivi vijiswali,,,, kaka severin ndio wa kwanza kumjibu kama ulivyosea, mimi kwa sasa najishughulisha na udereva, nimeajiliwa na kampuni inayojishughulisha na mambo ya internet iitwayo uhuru one, na mambo ya komputer sevice kitengo cha pili kiitwacho vision it,,,,,nawapeleka mafundi sait, na kuwarudisha, kuhusu kijiji chetu mimi nashauli kwanza sikumoja tukutane wote ili tufahamiane zaidi tuweze kujenga hii nchi inayoporomoka kila kukicha najua kila mmoja anazana yake wengine akileta mchanga mwengina ataleta simenti masi nchi tutaijenga sisi wenyewe kwa mionao yetu, dicked hivi nioe bila ya wewe kujua si utaniambia niishie moshi wewe!!! nisifike arusha? kifupi bado nipo mimi ni mwenyekiti wa mabachela,,,

Dixon Kaishozi said:
We bwana usitutanie.. hebu jilete watu wakukongóli maswali.. na ukijitokeza tu anza na kaka Severin, pili utueleze unajishughulisha na nini kusukuma gurudumu la maisha, tatu.. Ushauri wako juu ya kijiji chetu (ungependa kuwe na kitu kipya kipi? ) Nne.. umeoa au bado upo upo?

wakati unajibu hayo ngoja nipate chai then nirudi.
nipo nakusubiri kwa hamu, kunambi

KUNAMBI Jr said:
huyu mtu nataka kujua kwanza yupo???? kama yupo akachukue kamusi kabisa naenda BAKITA nikirudi akae tayari
nipo acha uoga wewe,,,,,

Tulonge said:
Huyu mjomba kaingia mitini nn?
hicho kikao hakijaisha tu,,,

ANGELA JULIUS said:
nikitoka kwenye kikao nakuja kujaa vibaya vibaya
anjela umeenda kwenye kikao cha harusi nini maana wewe kwa harusi haujambo,,,,

Bonielly said:
hicho kikao hakijaisha tu,,,

ANGELA JULIUS said:
nikitoka kwenye kikao nakuja kujaa vibaya vibaya

Kaka hongera sana kwa kuwa mdau wa wiki.

 

Nina vijiswali vidogo kama hamsini hivi.....hahahahhha naona ushaanza kuogopa!!!!

1. Urewedi,namnani,jakaya!

2.Nini maoni yako kuhusu wasichana/wanawake kuvaa nguo za wadogo zao??

3.Nini maoni yako kuhusu suala la wanawake kuwa wengi zaidi ya wanaume,zipi faida zake na zipi hasara zake??

4.Nini mawazo yako kuhusu suala la michango ya harusi?

5.Unadhi nchi yetu inaelekea kuzuri au kubaya kulingana na hali ya maisha ilivyo kwa sasa??

 

Ni hayo tu kwa sasa bado mengine 15 yanakuja!!!

4.

Hehehe.. Umejitahidi sana kujibu swali langu.. kweli tunafahamiana kiasi flan ila nimeuliza ili wengine pia wakufahamu. Asante kwa majibu yako. Kila lakheri kwa maswali yatakayo kufata.
ha ha ha ha haaa aksante kaka ulifikiri nitachemka?

Dixon Kaishozi said:
Hehehe.. Umejitahidi sana kujibu swali langu.. kweli tunafahamiana kiasi flan ila nimeuliza ili wengine pia wakufahamu. Asante kwa majibu yako. Kila lakheri kwa maswali yatakayo kufata.
Hongera kwa kuchaguliwa kuwa mdau wa week. Mimi sina maswali zaidi ya kukutakia kila la heri ktk shughuli zako za kila siku!
Asante sana Bonielly kwa kujitokeza kujibu maswali, japo wadau wamekuhurumia kukutwanga maswali ya kutosha. Natumaini wadau wamejua mengi kuhusu wewe zaidi ya vile walivyo kufahamu mwanzo. Tupo pamoja

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*