Tulonge

Huu ni uwanja wa kumtwanga maswali, kumpa ushauri, kuomba msaada toka mdau wetu wa wiki kwa kuzingatia maadili mema. Kazi kwako.

Views: 1254

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

duh Dismas aya bana

ushauri wangu kwa kinadada wanaotoa mimba ni kuwa waache kwani kutoa mimba ni hatari kwa maisha yao ( kimwili na kiroho)....

wa kulaumiwa katika hili ni wote walioshiriki, yaani msichana, mvulana, daktari (mtaalam wa utoaji mimba) na wote waliowashauri hawa wa2 watoe mimba.

natumaini watafuata ushauri wangu

nashukuru sn Belita kwa pongezi

Dah Belita historia yangu ndeeeefu lkn ntajaribu 

naitwa cecilia a.k.a cecy ni mtoto wa pili kuzaliwa kati ya watano nikiwa ndo dada mkubwa

nimesoma  makumbusho primary then nkahamia zanaki primary ndo nkamaliza drs la saba hapo

nkasoma city secondary school ambapo ndo nlipomalizia 4m4 ( nimesoma na Dismas hapa jamani)

then nkapanmgiwa mwenge sekondari ndpo nlipomalizia 4m6

baada ya hapo nkaenda chuo muhi2  

baada ya hapo nikafanya internship amana hospitali kwa mwaka mmoja ndo nimepangiwa kazai hapa tanga mjini...

nafikiri hapo yatosha kunfaham vzr au vp Belitaa...wink

nashkuru sana Eddie....... Amen

Mungu akubariki nawe pia

Hongera sana kuwa mdau wa wiki. Hongera uko mrembo. Mdogo wake Dismas anakusalimia sana, asema iwapo ungekuwa uko single angekuja kwa mzee Kayombo kupiga magoti.

 

Swali langu ni moja tu; wewe ni kabila gani? 

 

Jamani ni kweli hiki kichwa nimesoma nacho. Kilikuwaw ni noma darasani, kilikuwa kinatukimbiza hata vidume. Kuna kajamaa kalikuwa kanaitwa Lusekelo Mwandenga kalikuwa kanatamani kamrushe mitama Cec sababu ya kukimbizwa haahhahahahaaaaa.

cecilia kayombo said:

nashukuru sn Belita kwa pongezi

Dah Belita historia yangu ndeeeefu lkn ntajaribu 

naitwa cecilia a.k.a cecy ni mtoto wa pili kuzaliwa kati ya watano nikiwa ndo dada mkubwa

nimesoma  makumbusho primary then nkahamia zanaki primary ndo nkamaliza drs la saba hapo

nkasoma city secondary school ambapo ndo nlipomalizia 4m4 ( nimesoma na Dismas hapa jamani)

then nkapanmgiwa mwenge sekondari ndpo nlipomalizia 4m6

baada ya hapo nkaenda chuo muhi2  

baada ya hapo nikafanya internship amana hospitali kwa mwaka mmoja ndo nimepangiwa kazai hapa tanga mjini...

nafikiri hapo yatosha kunfaham vzr au vp Belitaa...wink

hongera kwa kuwa mdau wa wiki, na mimi pia narejea kwa belita kwamba tunaomba historia ya maisha yako ili tukujue zaidi ndio tutapata maswali ya kukuuliza au vipi bye shosti.

ok nashukuru kwa kupata historia yako kiufupi, sasa nitakuuliza baadae ngoja nikijaji kichwa changu.

 

mambo vipi sina maswali mengi ila nakutakia salama, na maisha mema siku njema mamy,,,

 

pongezi dada kwa kuwa mdau wa wiki mie sina swali isipokuwa nakuomba uwe mvumilivu na mkaminifu katika maisha maana maisha ya sasa ukicheza utajikuta pa bay nikimalizia nakuombea kila la kheri fanaka amani na furaha tele moyoni mwako na mola atakupa ulitakalo bora uwaheshimu wazazi wako wazee na wakubwa wako na kumcha mola

 

 

nashkuru sn mama malaika

msalimie pia mdogo ake Dismas...

kwa mzee kayombo ushachelewa bana...

Mama malaika mimi ni Mngoni kutoka Ruvuma.....

 

Cecilia kumbe wewe wa kunyumbi kabisa, mama yangu mzazi ni m-Nguni.
ha ha haaaaaa, Dismas acha izo banaaaa...

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*