Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa kumtwanga maswali, kumpa ushauri,kuomba ushauri/msaada toka kwake nk kwa kuzingatia maadili mema.

Views: 638

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Hahahahahah SEVERIN acha wehu kwanza me sio bishoo kama unavyofikiri pia kuvaa chen sio ubishoo,

uso wa saloon kila siku sio kweli me natumia sabuni ya mbuni au kuku kuogea ambayo ni sabuni ya kawaida kabisa

ambayo tunatumiaga hata vijijini mafuta sipakagi kwani ngozi yangu inamafuta na hata ikibidi nipake napaka vaseline ili nisipauke mikononi but usoni situmii mafuta kabisaa, kuna k2 nilikuwa sijakifahamu kumbe kuvaa chen ni ubishoo?

au ubishoo ni nini? naomba ufafanuzi pls huenda me sijui maana halisi ya ubishoo me najiona mkawaida sana so nashanhaa mnavyoniita bishoo?! kigezo ni nini?

je na wale wanaovaa macheni 7 tena yanakuwa malefu mpaka tumboni raba kuubwa jins hilo tena anavalia matakoni cap inavaliwa upande t-shirt imempita umli nywele wamesuka heleni sikioni hao ndio mabishoo. nafikiri nimeeleweka Kaka SEVERIN

Severi naomba nimalizie swali lako me nina watoto 2 Faisal na Faiza, matarajio ya kuwa na watoto wangapi hiyo ni siri ya MUNGU kwani huwezi juwa anavyopanga ila watoto atakaonijaalia nao nitawapoke kwa furaha hata 10.

Belita my Dada umeniitaje? vile lol ok kwanza me sijasoma chekechea nilianza la kwanza shule ya msingi Mabawa TANGA kilicho7bisha nisisome chekechea ni Mdrasa kwa sisi waisilam mtoto lazima aende madrasa na kidato cha 4 nilimaliza pale kideleko seko scool iliopo handeni TANGA  5 na 6 vosa nikapiga chini baada ya hapo nikaungaunga vyuo vya mitaani iit, princi computer power computer, hurtbeat oline. pia napenda kujifunza kila kukicha

nimeajiliwa pia nimjasiliamali  ODTECH SOLUTIONS ukitaka kujuwa odtech inafanya nini? www.odtechtz.com

umm kuhusu mwanamke wa aina gani kweli unajuwa ukiingia ktkt swala la uchaguzi inabidi usifanye makosa

ktk dini yangu inanirusu kumpenda mwanamke kutokana na sifa zake uzuri wake,mali zake,ukoo wao, na dini yake je ni mpenda dini?.  huyu wa mwisho ndio mwanamke wa kuoa maumbile sio kigezo saana kikubwa mapenzi ya dhati na imaninya ki MUNGU iwe ndani yenu. umli wangu 28 29 tupo pamojah? karibu sana my Dada.

Kaka Emmanuel me naishi kigamboni

ni IT wa raha.com hapa dar.

Safi sana! nimejaribu kufuatilia kwenye TULONGE wadau wengi ni ma IT! unaweza kuwaambiaje wadau ambao cio wataalamu wa IT kuhusu hii fani? faida na hasara zake! kama mie nimepanda sana minara na juu ya dali kwa ajili ya mambo ya NETWORK!
Dah! kk hii fani inahitaji moyo hasa inapofikia unafanya networking kupanda minara kupenya dalini kweli inahitaji moyo na usiwe muoga kama mimi nilishapanda mnara wa mita 60 tena usiku wa saa 7 link ilipiga chini wateja wote walikuwa down sikuwa na lakufanya zaidi ya kwenda juu mzee nilikaa zaidi ya masaa 3 c unajuwa usiku kunavyotisha?! kweli hii kazi ni ngumu sana tena japo ukikomaa inamkwanja ila siku hizi imevamiwa sana watu wanafanyakazi kwa bei ndogo sana wanaishusha thamani so kwa sasa soko lake limepungua sana kulingana na myaka kadhaa iliopita.
Duh! kweli mganga aliyemtumia ni noma. Naona wadau wameogopa kukuswalika maswali mengi. Nawashukuru wadau wote waliojitokea kumuuliza maswali mdau wetu wa wiki. Ninaamini tutakuwa tumemfahamu vzr Omary zaidi ya tulivyo mfahamu hapo mwanzo. Jiandae kumpokea mdau wa wiki ajae.

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*