Tulonge

Huu ni ukumbi wa kumtwanga Mdau wetu wa wiki maswali,maoni,ushauri,malalamiko,msaada nk .Kazi kwako mdau.

Views: 812

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Hili swali limejibiwa au? Chaoga hujasikia

chaoga said:
kaka alfan hebu nambie ktk dunia hii ya raha na karaha ushawahi tumia kilevi au unatumia mpaka sasa?
dixon swali hili mbona sikuona kati ya maswali aliyoulizwa anijibu fasta kama anatumia maji ya ugwadu au thoda

Dixon Kaishozi said:
Hili swali limejibiwa au? Chaoga hujasikia

chaoga said:
kaka alfan hebu nambie ktk dunia hii ya raha na karaha ushawahi tumia kilevi au unatumia mpaka sasa?
Hahahahahahahaaa lazima tumkimbize mtu hapa.
Tehetheteheteheteheteh!!! Unanitisha wewe mdada maswali gani hayo utakayokuja nayo????

Mtemi said:
Hee hili Lijambazi litanikoma subiriiiiii

Asante sana Severin kwa swali lako zuri:

Kwa sasa nina mke mmoja tu na sina mpango wa kuongeza mwingine labda wazo hilo lije hapo baadaye sana ila hawatafika wanne labda wawili tu...teheteheteheteehe

Severin said:

Alfan una mpango wa kuwa na wake wangapi? Hadi dakika hii unao wangapi?Najua dini yako inaruhusu kuwa na wake wanne.

Swali zuri sana mkuu Chaoga aka Chapombe...teheteheteh

Dah,nakumbuka mwaka flani hivi siukumbuki vizuri niliwahi kushawishiwa nikanywa Number 1 kile ki-GONGO cha kidhungu kimoja tu balaa lake sikulala usiku mzima maumivu kifuani kama kunawaka moto na kama vile nimemeza kitu kigumu kikakwama kifuani, yaani full kutapika mpaka asbuhi...Toka hapo sikutaka kuonja tena aina yoyote ya kilevi..hahahahahahaha

Kwa ufupi ni kwamba situmii na sitatumia kilevi kabisa! Mungu nisaidie nisitumie...!

chaoga said:

kaka alfan hebu nambie ktk dunia hii ya raha na karaha ushawahi tumia kilevi au unatumia mpaka sasa?
Nimeshajibu wakuu wangu!!

chaoga said:
dixon swali hili mbona sikuona kati ya maswali aliyoulizwa anijibu fasta kama anatumia maji ya ugwadu au thoda

Dixon Kaishozi said:
Hili swali limejibiwa au? Chaoga hujasikia

chaoga said:
kaka alfan hebu nambie ktk dunia hii ya raha na karaha ushawahi tumia kilevi au unatumia mpaka sasa?
Nakusubiri Latifa.

LATIFA MOHAMMED said:

hahahaha alfani subiri ni vute kiti nianze kuyaweka kwa alphebetical order maswali yangu  lol

Hahahahahahahaha! Msije na maswali yua kukomoana jamani!

George said:
Hahahahahahahaaa lazima tumkimbize mtu hapa.
while mia sina swali maana wote tukikuuliza swali na atakaye kukupa hongera  ila tunashukuru sana kuwepo wako huu hapa kijiji na we are glad your are our friend
Thats nice of you bby gal!!

LATIFA MOHAMMED said:
while mia sina swali maana wote tukikuuliza swali na atakaye kukupa hongera  ila tunashukuru sana kuwepo wako huu hapa kijiji na we are glad your are our friend

Habari kaka.

Napenda kujua kuhusu elimu yk, ulizaliwa wp, unaishi wp, umeoa na km umeoa una watoto wangapi na unapt changamt gani za kifamilia, kama bd unangoja nn au una "king'amuzi (mpenzi) na unajizuiaje na vishawishi, na kuhusu ukimwi  je, umepima?  c mby km tutapt majibu yk, vp kuhusu uchumi juu yk, je wewe ni tajiri, una nafuu ya maisha au fukara? Na unjua nn kuhusu maisha Mtanzania???

Naomba unijb kama nilivyokuuliza.

Ahsante!

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*