Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa kutoa maoni juu ya Dixon,kazi kwako mdau.

Views: 796

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

ha haaa,safiiiiiiii.

Nipo  loliondo kwa sasa hakuna mawasiliano.

Nikirudi tuuu,Dic jiandae kwa kujibu maswali.

Hongera sana kuwa mdau wa wiki. Ngoja nikale la mwidebe na mlenda halafu nitarudi na maswali.

Hahahahaaa... Yamekuwa haya tena ?

Asante Mama malaika kwa pongezi zako.. lakini jua hiki ni kikaango.. @ Mery kweli bado sijarudi kutoka kwa babu.. Msiulize kwanza maswali... hahahaaa

ukisharudi naomba unijuze kwani tuna mengi ya kutaka kujua toka huko, b4 hatujaanza ngwe yetu ya maquestions,
Sawa sawa.. Nimekupata Kunambi jr... Ondoa shaka, natumaini kikombe cha babu kitatatua quiz zote zitakazo jitokeza.. Karibuni!
umekwenda kwa babu kwa ajili ya kujiandaa kujibu maswali yetu au kwa ajili ya kutibu kale kagonjwa ka siku hizi?Hongera kuwa mdau wa wiki.

1: hongera kwa kupata nafasi hii ya kuwa mdau wa wiki

2: Vipi wajisikia au ulichukilia vipi ulivyo ona unauza sura hapo home page?

3: Na vipi unaichukulia hii program ya  mdau waki?

 

Huo ulikuwa ni muhtasari wa  maswali na habari kamili itakuja in next few hours

Dixon badi sijamaliza kula nitarudi baadae...

Dah, e bana nikirudi toka Loliondo nitachangia kidogo. Huku ni mshikemshike, nikichelewa, nahofu kukosa tiba kwa wakati.

 

Ila nitarudi.

Hongera Dixon kwa kuchaguliwa mdau wa wiki! Nakutakia heri na baraka katika shughuli zako za kila leo pamoja na family yako!

 Maswali yatafuata baadaye!

Kaka hongera sana kwa kuwa hapa mbele ye2 2kuswalike, me ningewaomba wadau waku2nguwe maswali uanze kuyajibu hukohuko kwa Babu mpaka ukirudi uko hoi bin taabani kwa maswali jamani kama kwa Babu hakuna mtandao hata p.o.box? 2mswalike 2 kwa sanduku la baruwa p.o.box .... kwa Babu.

@ Riziki.. Kwa babu kunatibu chochote kile unachoona hakija kaa sawa mwilini mwako. Ondoa shaka Namshukuru Mungu kale kagonjwa ka siku hizi SINA! Na kutokana ka kikombe ninahamu sana kujibu swali lolote litakalo jitokeza.


Asante kwa Pongezi zako.


riziki matitu said:

umekwenda kwa babu kwa ajili ya kujiandaa kujibu maswali yetu au kwa ajili ya kutibu kale kagonjwa ka siku hizi?Hongera kuwa mdau wa wiki.

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*