Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa kumchapa maswali mdau wetu wa wiki. Unaweza mpa ushauri, kumuuliza swali,kuomba ushauri/msaada toka kwake nk.

Views: 1064

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

habari kaka Dunda, kwanza hongera kwa kuwa mdau wa wiki

 

1.kaka Dunda wewe kabila gani?

2. Unasema unawatoto ni wangapi? je wakike unao wangapi na wakiume pia wangapi?

3. Kaka Dunda  unapenda nini sana na nini ukichukiacho?

habari kaka Dunda, kwanza hongera kwa kuwa mdau wa wiki

 

1.kaka Dunda wewe kabila gani?

2. Unasema unawatoto ni wangapi? je wakike unao wangapi na wakiume pia wangapi?

3. Kaka Dunda  unapenda nini sana na nini ukichukiacho?

Dunda 

Habari nzuri Agnes sijui wewe?

1,KABILA NTAJIBU SIKUNYENGINE NGOJA NIKUMBUKE 

2.WATOTO WANGU WATANO NINA MAANA NA WALE NINAOWALEA TOKA KWENYE MAZINGIRA MAGUMU(WATOTO WA MTAANI)NILIWACHUKUA WAKIWA KWENYE HALI NGUMU 

3.NAPENDA KULA CHABO NA SIPENDI FAHARI

 

sawa kaka Dunda jibu la 3 limenifurahisha sana!

 

ngoja nijipange kwa maswali mengine

Dunda hongera kwa kuwa mdau wa wiki!!

maswali yangu yako hivi!!

1. kwani nilazima mdau wa wiki aulizwe maswali??

2. Ni lazima mdau wa wiki ajibu maswali yaloulizwa??

3.Ukiwa kama mdau wa wiki unajisikiaje kuulizwa maswali ambayo ni very personal?

4. Wale vibaka katika ile mitaa yetu ya mwanamakuka, mwanakalenge, Dunda, majani mapana na Mangesani wameisha??

 

Nahukuru Don

1.Sijui kama ni lazima na kama si lazima nafikili unaweza kuuchuna ukaendelea na makamuzi kama kawa,

2.Kama unafikili mazuri watu kukujua unaweza kujibu au ukatafuta cont za muuliza ukamwambia binafsi

3.Sijisikii vizuri kwani itanipunguzia ninaotaka kuwa§§§§§§kndmiza waishie kivyao

4.Wamepungua kwani nina kiwanja mitaa ile na hali swafi kama yule demu wako mwenye nusu rangi

Don M said:

Dunda hongera kwa kuwa mdau wa wiki!!

maswali yangu yako hivi!!

1. kwani nilazima mdau wa wiki aulizwe maswali??

2. Ni lazima mdau wa wiki ajibu maswali yaloulizwa??

3.Ukiwa kama mdau wa wiki unajisikiaje kuulizwa maswali ambayo ni very personal?

4. Wale vibaka katika ile mitaa yetu ya mwanamakuka, mwanakalenge, Dunda, majani mapana na Mangesani wameisha??

 

Hahahahahaahahahahahaha! Umenifurahisha kwa majibu yako mazuri......teheteheteheteheteheteehetehe. Sina maswali ya ziada!!!!!

Dunda said:

Alfan maswali yako magumu kama ufutuo wa karamu hahahah

1.Jina langu kamili ni Dunda Kebby Mpili

2.Nimeoa mara moja na kuachwa solemba,Nina watoto 

3.Kuh mgao hakuna haja ya kupiga kelele tuludi kwenye enzi zetu za kibatali.Na wenye uwezo wanunue geneleta au waweke sola power 

4.Kazi ni ufundi au kazi za mikono kutengeneza kitu alafu wanakiona wakakifurahikia au kikifanya kazi vzr ndio namalizia masomo ili nije nyumbani nijiajili mwenyewe na kuachana na hawa wenyeji wetu  bila kuwaacha watoto

5.Swala la ushauri mimi ni mshauri wa Tulonge labda la kuongeza ili tusonge tunabidi kuwe kitu kitachowavutia wadau si kwa kuongea kwenye net tuu...Kama kuandaaa kajitamasha nk

Natumai nimejaribu kujibu kama ulivyo uliza

Alfan Mlali said:

Mkuu Dunda..Hongera sana kwa kuwa mdau wetu wa wiki.

Napenda kufahamu yafuatayo kutoka kwako:

1. Jina lako kamili

2. Umeoa na una watoto wangapi au kama bado lini matarajio yako.

3.Unazungumziaje suala la mgao usiokwisha wa umeme hapa bongo.

4. Kazi gani ambayo ukiipata utaifanya kwa furaha na ufasaha bila kuwa na stress

5.Ungepata nafasi ya kuwa mshauri wa Tulonge, ungeshauri kitu gani kifanyike ili kuongeza uhondo na kuboresha kijiji hiki.

 

Ni hayo machache kwa sasa,ntarudi tena na awamu ya pili!!

Amani kwako.

Dunga aka......vipi ile treatment unaendelea nayo ama?

 

 

HHAHAHAHAHAHA Sawa Dada hilo sio swali ni maelezo 

Nafikili unaendelea nalo dozi lako hahaha

Dada said:

Dunga aka......vipi ile treatment unaendelea nayo ama?

 

 

Ha haa haa.... Dada bado anakumbushia tu.

Dunda said:

HHAHAHAHAHAHA Sawa Dada hilo sio swali ni maelezo 

Nafikili unaendelea nalo dozi lako hahaha

Dada said:

Dunga aka......vipi ile treatment unaendelea nayo ama?

 

 

Hongera sana mjomba wake naninii kuchaguliwa kuwa mdau wa wiki. Haya kaza buti ujibu maswali ya wadau

Hongera mkuu Dunda kwa kujitahidi kujibu maswali ya wadau kwa ufasaha. Nadhani wadau watakuwa wamekufahamu vzr zaidi ya mwanzo.

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*