Tags:
Replies are closed for this discussion.
habari kaka Dunda, kwanza hongera kwa kuwa mdau wa wiki
1.kaka Dunda wewe kabila gani?
2. Unasema unawatoto ni wangapi? je wakike unao wangapi na wakiume pia wangapi?
3. Kaka Dunda unapenda nini sana na nini ukichukiacho?

Dunda
Habari nzuri Agnes sijui wewe?
1,KABILA NTAJIBU SIKUNYENGINE NGOJA NIKUMBUKE
2.WATOTO WANGU WATANO NINA MAANA NA WALE NINAOWALEA TOKA KWENYE MAZINGIRA MAGUMU(WATOTO WA MTAANI)NILIWACHUKUA WAKIWA KWENYE HALI NGUMU
3.NAPENDA KULA CHABO NA SIPENDI FAHARI
sawa kaka Dunda jibu la 3 limenifurahisha sana!
ngoja nijipange kwa maswali mengine
Dunda hongera kwa kuwa mdau wa wiki!!
maswali yangu yako hivi!!
1. kwani nilazima mdau wa wiki aulizwe maswali??
2. Ni lazima mdau wa wiki ajibu maswali yaloulizwa??
3.Ukiwa kama mdau wa wiki unajisikiaje kuulizwa maswali ambayo ni very personal?
4. Wale vibaka katika ile mitaa yetu ya mwanamakuka, mwanakalenge, Dunda, majani mapana na Mangesani wameisha??
Nahukuru Don
1.Sijui kama ni lazima na kama si lazima nafikili unaweza kuuchuna ukaendelea na makamuzi kama kawa,
2.Kama unafikili mazuri watu kukujua unaweza kujibu au ukatafuta cont za muuliza ukamwambia binafsi
3.Sijisikii vizuri kwani itanipunguzia ninaotaka kuwa§§§§§§kndmiza waishie kivyao
4.Wamepungua kwani nina kiwanja mitaa ile na hali swafi kama yule demu wako mwenye nusu rangi
Don M said:
Dunda hongera kwa kuwa mdau wa wiki!!
maswali yangu yako hivi!!
1. kwani nilazima mdau wa wiki aulizwe maswali??
2. Ni lazima mdau wa wiki ajibu maswali yaloulizwa??
3.Ukiwa kama mdau wa wiki unajisikiaje kuulizwa maswali ambayo ni very personal?
4. Wale vibaka katika ile mitaa yetu ya mwanamakuka, mwanakalenge, Dunda, majani mapana na Mangesani wameisha??
Alfan maswali yako magumu kama ufutuo wa karamu hahahah
1.Jina langu kamili ni Dunda Kebby Mpili
2.Nimeoa mara moja na kuachwa solemba,Nina watoto
3.Kuh mgao hakuna haja ya kupiga kelele tuludi kwenye enzi zetu za kibatali.Na wenye uwezo wanunue geneleta au waweke sola power
4.Kazi ni ufundi au kazi za mikono kutengeneza kitu alafu wanakiona wakakifurahikia au kikifanya kazi vzr ndio namalizia masomo ili nije nyumbani nijiajili mwenyewe na kuachana na hawa wenyeji wetu bila kuwaacha watoto
5.Swala la ushauri mimi ni mshauri wa Tulonge labda la kuongeza ili tusonge tunabidi kuwe kitu kitachowavutia wadau si kwa kuongea kwenye net tuu...Kama kuandaaa kajitamasha nk
Natumai nimejaribu kujibu kama ulivyo uliza
Alfan Mlali said:Mkuu Dunda..Hongera sana kwa kuwa mdau wetu wa wiki.
Napenda kufahamu yafuatayo kutoka kwako:
1. Jina lako kamili
2. Umeoa na una watoto wangapi au kama bado lini matarajio yako.
3.Unazungumziaje suala la mgao usiokwisha wa umeme hapa bongo.
4. Kazi gani ambayo ukiipata utaifanya kwa furaha na ufasaha bila kuwa na stress
5.Ungepata nafasi ya kuwa mshauri wa Tulonge, ungeshauri kitu gani kifanyike ili kuongeza uhondo na kuboresha kijiji hiki.
Ni hayo machache kwa sasa,ntarudi tena na awamu ya pili!!
Amani kwako.
Dunga aka......vipi ile treatment unaendelea nayo ama?
HHAHAHAHAHAHA Sawa Dada hilo sio swali ni maelezo
Nafikili unaendelea nalo dozi lako hahaha
Dada said:
Dunga aka......vipi ile treatment unaendelea nayo ama?
HHAHAHAHAHAHA Sawa Dada hilo sio swali ni maelezo
Nafikili unaendelea nalo dozi lako hahaha
Dada said:Dunga aka......vipi ile treatment unaendelea nayo ama?
Hongera sana mjomba wake naninii kuchaguliwa kuwa mdau wa wiki. Haya kaza buti ujibu maswali ya wadau
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by