Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa kumkung’uta maswali,ushauri,malalamiko mdau wetu wa wiki kwa kuzingatia maadili mema.

Views: 997

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Nipe siri ya kuwa na umbo zuri kiasi hicho hadi unafanya mwili wangu usisimke kila nikiangalia picha zako. Hizo bastola ni balaa tupu.Hapo bado hujaamua kujifanya kama umesahau kitu halafu ugeuke utupe mgongo uanze kurudi,ukifanya hivyo hapatakaika hapa Tulonge.

hongera mdogo wangu! usafiri huo tu!

 

Nataka tu kujua, je, Jannethy....?
yaaaaaaaap hongera sana tena saaaaaana
Dada jane hongera kuwa mdau wa wiki ur so cute jamani,keep it.
Naona Jane amekimbia maswali.....hiyo ""interrogation"" hata CIA FBI MOSSAD KGB MI6 wakikusanywa pamoja hawataweza uliza maswali hayo @Kunambi!

Mashallaah...... binti umeumbika!!! Hongera sana kuwa mdau wa week. 

Dah............ Habari zenyu bac, ha ha ha ha ha  namshukuru Mr Tulonge kwa kunichagua kuwa MDAU WA WIKI nitajibu maswali yenu kadri niwezavyo.....EEE MUNGU NISAIDIE..
Asante mumy, kwel UKIMWI upo na unaua asante kwa ushauri wako.

Joan said:
Hongera kwa kuwa Mdau wa wiki Jane,mimi napenda kukusifia tu kuwa UNA UMBO ZURI SANA.Hivyo kaa chonjo na wanaume waharibifu.Kama una mumeo/boyfriend hakikisha unadumisha uaminifu katika penzi lenu. UKIMWI upo na unaua sanaaaaaaa.
Sijakimbia bana nilikuwa NAJIPANGA.

eddie said:
Naona Jane amekimbia maswali.....hiyo ""interrogation"" hata CIA FBI MOSSAD KGB MI6 wakikusanywa pamoja hawataweza uliza maswali hayo @Kunambi!

Mmh mwenzetu mbona umeniswalika hivyo

1.  Jannethy William Nganda

2. Mzaliwa wa ZANZIBAR ila ni MSUKUMA

3. Umri (  )

4. Sijaowa na sijaolewa nipo nipo sana.......

5. Mtoto 1

6. Anaejituma na mkwel, anaelewa dunia inaendaje,asiwe na pesa kama Sonko (Tajiri) kama Dismas

7. Nilshawahi kuumizwa cwez sema ni kw nini? lkn niliamua kusamehe 7bu hakuna mkamilifu ktk hii dunia.

8. Naishi Kigamboni.

9. Aaah ni siku rafiki yangu mpenz kufia mikononi mwangu huwa nahuzika kila siku na sitosahau.

10. Nawapenda wote.

11. Jinsia zote napia ukumbuke mtoto ni mtoto awe wa kike ama wa kiume.

12. starehe ninayoipenda KULALA.

13. Wali ndondo na matunda napenda Ndizi na apple

14. Kinywaji ninachopenda ni TOGWA.

15. Mmmh mimi ni Mzalendo bro.

Mmh wacha nivute pumzi kwa sasa..........

KUNAMBI Jr said:

jaman nijuavyo mm kuna kitu kinaitwa General Qns na Profession Qns sasa naomba nianze na GQ then ntakuja na PQ Dada Jenny upo naomba nije kama ifuatavyo...................

GQ

1. unaweza kutupatia majina yako kamili?

2.wewe ni mzaliwa wa wapi?

3.una miaka mingapi?

4.je umeoa au umeolewa?usishangae sana hata wanawake wanaoa siku hizi.

5.una watoto wangapi?

6.una penda mwanaume mwenye sifa gani?

7.ulishawahi kutendwa (kuumizwa)ktk mapenzi???na kwa nn?na ulichukua uamuzi gani???

8.unaishi wapi na unajishughulisha na nn?

9.tukio gani ukilikumbuka huwa linakuhuzunisha sana???lisiwe na mabom ya Gmboto lakini ok?

10.kati ya wazazi wawili yupi unamfagilia sana yaani Baba au Mama?

11.unapenda watoto wa jinsia gani kike au kiume ndo wanakuvutia zaidi?na kwa nn?

12.ni starehe gani unaipenda zaidi ya zote?

13.unapenda vyakula vya aina gani?na matunda ya aina gani?

14.je unatumia kilevi cha maji ya ilala kama Mr Chaoga au maji ya mnazi kama Dis???

15.unapenda kujirusha kama dada Joan na Diana?au ww ni mzalendo kama dada Mary wa mkumbo?

 

                                                            PQ

1.umesoma mpaka level gani?

2.ni kazi unaipenda?

3.je unatamani kuolewa na mume msomi kama kaka Kunambi???jamani sijifagilii lkn mm nina PHD ya kuongea.

4.una future gani ya kuendelea na masomo yako?

5.kama ungepata bahati ya kuchagua kijana mtanashati awe mwenza wako ungemchagua nani kati ya hawa???Dis,Omary?Alfani?Chaoga?

 

kwa leo niishie hapo kuna kazi nafanya nikimaliza nakuja na mengne tena,ngoja niyachakachue kwenye Dictionary yangu hapa,nkutakia siku na kazi njema...................

 

wako wa ukwe'eeee K'

 

dada janne haya ukirudi toka huko mapumzikoni anza kujibu swali langu, hivi wewe kwa hapa Tanzania ni mpenzi wa timu gani ya mpira wa miguu na kama utakuwa ni mpenzi wa timu kati ya simba au yanga tafadhali naomba unibashirie kesho hawa watani wa jadi wanakutana nani unafikiri atakuwa kibonde...?

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*