Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa kumkung’uta maswali,ushauri,malalamiko mdau wetu wa wiki kwa kuzingatia maadili mema.

Views: 947

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

PQ.

1. Diploma.

2. Graphic Designer

3. Hapana najua wenye elimu ya juu huwa wanajisikia sana ha ha ha.

4. Elimu ndio mpango mzima, ntaendelea kusoma mpaka nikute kibao cha "HAKUNA ELIMU"

5. Hakuna mwenye sifa nizitakazo kati yao, wote ni MASONKO NA MADON so hatutapatana.

Mmmh nahic nimejibu maswali yk brother.

Jannethy William Nganda said:

Mmh mwenzetu mbona umeniswalika hivyo

1.  Jannethy William Nganda

2. Mzaliwa wa ZANZIBAR ila ni MSUKUMA

3. Umri (  )

4. Sijaowa na sijaolewa nipo nipo sana.......

5. Mtoto 1

6. Anaejituma na mkwel, anaelewa dunia inaendaje,asiwe na pesa kama Sonko (Tajiri) kama Dismas

7. Nilshawahi kuumizwa cwez sema ni kw nini? lkn niliamua kusamehe 7bu hakuna mkamilifu ktk hii dunia.

8. Naishi Kigamboni.

9. Aaah ni siku rafiki yangu mpenz kufia mikononi mwangu huwa nahuzika kila siku na sitosahau.

10. Nawapenda wote.

11. Jinsia zote napia ukumbuke mtoto ni mtoto awe wa kike ama wa kiume.

12. starehe ninayoipenda KULALA.

13. Wali ndondo na matunda napenda Ndizi na apple

14. Kinywaji ninachopenda ni TOGWA.

15. Mmmh mimi ni Mzalendo bro.

Mmh wacha nivute pumzi kwa sasa..........

KUNAMBI Jr said:

jaman nijuavyo mm kuna kitu kinaitwa General Qns na Profession Qns sasa naomba nianze na GQ then ntakuja na PQ Dada Jenny upo naomba nije kama ifuatavyo...................

GQ

1. unaweza kutupatia majina yako kamili?

2.wewe ni mzaliwa wa wapi?

3.una miaka mingapi?

4.je umeoa au umeolewa?usishangae sana hata wanawake wanaoa siku hizi.

5.una watoto wangapi?

6.una penda mwanaume mwenye sifa gani?

7.ulishawahi kutendwa (kuumizwa)ktk mapenzi???na kwa nn?na ulichukua uamuzi gani???

8.unaishi wapi na unajishughulisha na nn?

9.tukio gani ukilikumbuka huwa linakuhuzunisha sana???lisiwe na mabom ya Gmboto lakini ok?

10.kati ya wazazi wawili yupi unamfagilia sana yaani Baba au Mama?

11.unapenda watoto wa jinsia gani kike au kiume ndo wanakuvutia zaidi?na kwa nn?

12.ni starehe gani unaipenda zaidi ya zote?

13.unapenda vyakula vya aina gani?na matunda ya aina gani?

14.je unatumia kilevi cha maji ya ilala kama Mr Chaoga au maji ya mnazi kama Dis???

15.unapenda kujirusha kama dada Joan na Diana?au ww ni mzalendo kama dada Mary wa mkumbo?

 

                                                            PQ

1.umesoma mpaka level gani?

2.ni kazi unaipenda?

3.je unatamani kuolewa na mume msomi kama kaka Kunambi???jamani sijifagilii lkn mm nina PHD ya kuongea.

4.una future gani ya kuendelea na masomo yako?

5.kama ungepata bahati ya kuchagua kijana mtanashati awe mwenza wako ungemchagua nani kati ya hawa???Dis,Omary?Alfani?Chaoga?

 

kwa leo niishie hapo kuna kazi nafanya nikimaliza nakuja na mengne tena,ngoja niyachakachue kwenye Dictionary yangu hapa,nkutakia siku na kazi njema...................

 

wako wa ukwe'eeee K'

 

Asante mama Malaika.

Mama Malaika said:

Mashallaah...... binti umeumbika!!! Hongera sana kuwa mdau wa week. 

Thanks so much Sisy Mary

Mary wa mkumbo said:
Dada jane hongera kuwa mdau wa wiki ur so cute jamani,keep it.
Asante. Sijui nimwite mchumba ama m-room lkn ninae mpenzi na ninampenda sana..............nashukuru kwa kunipenda kaka

Emmanuel Kibassa said:
Dah hawajaksea kukuchagua aisee, unastahili sifa,vipi umeolewa au unamchumba? nimeshakupenda mie jamani
Kiukwel sina timu hapa Tanzania, lkn YANGA itakuwa kibonde.
ha ha ha haa kwa nini yanga sasa ndio itakuwa kibonde dada jane kwa nini isiwe simba!!? inaonyesha wewe simba damu kesho mtaipata...

Jannethy William Nganda said:
Kiukwel sina timu hapa Tanzania, lkn YANGA itakuwa kibonde.
jamani sijajibiwa bado me nasubiri majibu

Dada Jenny asante kwa majibu yako..........kwa sasa nimeshujua wasifu wako wa nje na wasifu wako wa ndani me wala sitaki kuingilia huko naogopa kusutwa,maana nkianza umbea kama Chaoga mtanibalasa humu kujijini,but all in all nashukuru sana kwa kujibu sasa basi.................

 

-kama ww ni Graphic Designer je nawezaje kukutumia............maana sisi ndo wadau wenyewe wenye fani ya IT pa1 na Kibopa Dis... including you.

 

-me nilijua coz Dis na Chaoga ni Mabitoz na masharobaro kwa sana hawawezi kua na mtoto mtulivu kama ww na mm nawa Disqualify kabisa.

 

-kama ww starehe yako ni kulala ina maana ni mvivu sana wa kufanya kazi si ndio?

 

-unafanya kazi kampuni gani?

 

-na mtoto wako ni wa kike au kiume na ana umri gani?

Mumy nmelipenda swali lako ni hv sipendi hiyo tabia nawaambia hivi "WASITEME B.G KWA KARANGA ZA KUONJESHWA"

Agnes Nyakunga said:
Hongera Jane, je wewe kama msichana unazungumziaje swala zima la wanaume wenye ndoa zao wanaopenda kuchakachua nje ya ndoa zao unawaambiaje?
kaka Severin unamaliza yote duuh,naona kiroho kinakudunda kwa kuona hizo zipompapompa.

Severin said:
Nipe siri ya kuwa na umbo zuri kiasi hicho hadi unafanya mwili wangu usisimke kila nikiangalia picha zako. Hizo bastola ni balaa tupu.Hapo bado hujaamua kujifanya kama umesahau kitu halafu ugeuke utupe mgongo uanze kurudi,ukifanya hivyo hapatakaika hapa Tulonge.
Eddy me nataka kujua undani ili hata siku ukiamua kuingia bila miguu usikosee,isije kua ni dada yangu ohoo lazima tuulize mapema au sio?

eddie said:
Naona Jane amekimbia maswali.....hiyo ""interrogation"" hata CIA FBI MOSSAD KGB MI6 wakikusanywa pamoja hawataweza uliza maswali hayo @Kunambi!

Nashkuru kwa kujua wasifu wng wa nje wa ndani uwache baba ha hah ah ah a

- Unaweza kunitumia lkn kwanza ongea na SONKO Dis utanipa.

- Oooh man umenielewa vibaya najua hata wewe unajua kuwa kuna muda wa kufanya kazi na wastarehe sasa ule muda wa kustarehe napenda kulala.


- Kuhusu kufanya kazi me sio mvivu na chapa kazi bana.

- The Corporate Image kwa sasa inaitwa CI GROUP MARKETING SOLUTIONS.

- Wa kike bro.
KUNAMBI Jr said:

Dada Jenny asante kwa majibu yako..........kwa sasa nimeshujua wasifu wako wa nje na wasifu wako wa ndani me wala sitaki kuingilia huko naogopa kusutwa,maana nkianza umbea kama Chaoga mtanibalasa humu kujijini,but all in all nashukuru sana kwa kujibu sasa basi.................

 

-kama ww ni Graphic Designer je nawezaje kukutumia............maana sisi ndo wadau wenyewe wenye fani ya IT pa1 na Kibopa Dis... including you.

 

-me nilijua coz Dis na Chaoga ni Mabitoz na masharobaro kwa sana hawawezi kua na mtoto mtulivu kama ww na mm nawa Disqualify kabisa.

 

-kama ww starehe yako ni kulala ina maana ni mvivu sana wa kufanya kazi si ndio?

 

-unafanya kazi kampuni gani?

 

-na mtoto wako ni wa kike au kiume na ana umri gani?

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*