Ndugu zangu wana tulonge Habari za sikunyingi?,
Nimekuwa kimya kidogo nafikiri kwakuwa majukumu yameongezeka, pia nimegunduwa kitu: nyumbani kwetu watu wapo free mno kulinganisha na ughaibuni.
Maana hapa muda wako wa siku7 za week umeshaupangilia ni utaufanyia.
Pamoja na kukosa muda, ila bado nawakumbuka woote nawaombea kwa Mungu muwe na afya njema na mungu akipenda tuje onana.
Amani iwe juu yenu.