Tulonge

NI MAJONZI NA MASIKITIKO KWA KUWAPOTEZA WASANII WETU MASHUJAA WA TAARAB NAOMBA TUWAOMBE NA KUWAPA HESHIMA KUU

nimasikitiko makubwa sana na pigo kwa watanzania na afrika nzima yote ni kazi ya mola letu nikuwatakia subra familia na mashabiki wa taarabu na pia kuwaombea mola awawake mahala pema peponi "AMEEN"

Views: 568

Reply to This

Replies to This Discussion

Ni kweli inatia huzuni sana kaka Hassan,ila hatuna jinsi.Mungu ndiye aliye amua hilo litokee.Tunawaombea walale pema peponi AMEN
Bwana alitoa na sasa ametwaa jina lake lihimidiwe.AMEN
INNA LILLAH WAINNA ILLAIH-RAAJIUUN
wapumzike kwa amani, Amina!

mimi nadhani, mungu hapa tumuombe awalaze mahali pema, kwa sababu makosa ya wanasanaa wetu, ni ya dereva, mungu huwa hapendi kuona watu wake wakipotea wangali wadogo hivi,

 

ukiangalia zaidi matatizo mengi hua tunachangia wenyewe, mungu hahusiki, vifo vipo vimeumbwa na yeye lkn ni vifo, vya amani, kama uzee,

 

MIMI namuomba mungu awapumzishe kwa amani na awape mwanga wa milele ameen,

Ameni.

Inauma sana hasa kwa wale wafiwa. All in All Wameshatangulia hata sisi tutafuatia, no any one could escape this way. Tuwaombee kwa Mungu awape mapumziko mema. Cha muhimu tujiandae, tusijisahau, kwani hatujui siku, saa wala dakika.

                                                   AMEEN!!!

ndio hivyo tena ,mungu awalaze panapostahili

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*