Tulonge

Sema chochote kuhusu shindano baada ya kushiriki.

Huu ni ukumbi wa kusema kuhusu kilichokutokea baada ya kujibu maswali na kuona matokeo yako na yawenzako.Unahisi kuna dadalili yoyote ya wewe kuwa mshindi,ukizingatia huwezi rudia tena jibu maswali.

Views: 423

Reply to This

Replies to This Discussion

Dah! me nimekumbuka majibu wakati nimeshaingia chaka Mr Tulonge naomba ruhusa ya kurudia mtihani pls

sasa hv nimeshakumbuka majibu yote teh teh teh.

Hahhaahahhaha! Omari nimekuona umepata 0/10 tehetehetehetehetehetehe!
Hahahahhaaa  Ommy ulijifanya kuingia kichwa kichwa.Nadhani umeona kilichokupata.Huwezi kurudia bro, masharti yalishawekwa mapemaaaa

Omary said:

Dah! me nimekumbuka majibu wakati nimeshaingia chaka Mr Tulonge naomba ruhusa ya kurudia mtihani pls

sasa hv nimeshakumbuka majibu yote teh teh teh.

angalau mimi nimejipatia zangu 5 ya 10.Si haba teh teh
Ha ha ha ha ha Mr. Omary umesapu! Tehe tehe

Dah! m2 wangu Mr Tulonge kanibania bana ila maswali yalikuwa magumu ile mbaya nampongeza sana huyu mchizi aliepiga 10 of 10 hongera kwake man maana sio kiviile kuweka kumbukumbu zote za tulonge kichwani bt

from now nitakuwa makini na kila kinachoendelea ndani ya tulonge siku nyengine lazima nichukuwe taji

Alfan sijamsikia kabisa! hata kujaribu kaogopa. hajiamini kijana.

Hahahahahahahah! Nimeyasoma maswali nimeoa magumu sana naogopa kupata zero...teheteheteheteheteehet!
Alfan unaogopa kupata zero
ushauri wangu wape Sap wote walio feli ili wasapue tena, ila for sure the Quiz was fantastic coz its gives people to brainstorming the ans, and it was challenging, nevertheless tht was the great idea from u mr Tulonge.....................coz it makes people of this village to fill as a part of ths local network,its bring e'm 2gthr,we r happy and enjoyn to be as one family...........................WELL DONE,WELL ONE 2GHTR WE CAN MAKE IT TULONGE......................  
minilitia pua nikaona sielewi kitu, nika sheet, nisije nikapata zero nikaumbuka mtoto wa watu, itabidi niwe makini next time ni 10/10 tu.
Hahahahahaaaa wadau wengi walifanya kama ww ndo maaana walishiriki wachache.

kadir msuya said:
minilitia pua nikaona sielewi kitu, nika sheet, nisije nikapata zero nikaumbuka mtoto wa watu, itabidi niwe makini next time ni 10/10 tu.

unajuwa waswahili wanasema woga wako ndio umasikini wako na maandiko yanasema hatakama mlango umefungwa jaribu kufunguwa unaweza ukafunguka ukauaga umasikini na ndiomana me nikajaribu tena nikiwa

na matumaini makubwa sana ya kujinyakulia ushindi bt asiekubali kushindwa sio mshindani

so nawashauli kuthubu2 siku zote.

Reply to Discussion

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*