Tulonge

Jana nimepokea taarifa toka kwa katibu wa wana Malangali (Agnes Nyakunga), kuwa Mwalimu NYAULINGO amelazwa Aghakan Hospital hapa Dar na hali yake siyo nzuri.

Jana baadhi ya wana Malangali walienda kumjulia hali, na walimkabidhi kiasi cha Tsh. 371,000/= ambazo zilichangwa na wana Malangali. Pia michango inaendelea na sasa kuna Tsh. 71,000/= zimechangwa.

 

Mchango wako waweza tuma kwa Anangisye Kefa Mwakasege  (0753667515,0714319802).

"Nguvu ile ile itumikayo kuchangia HARUSI tuitumie hapa"

Views: 333

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*