Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa kuwatakia mwaka mpya mwema 2012 wadau wote wa tulonge. Unaweza dondosha, au andika ujumbe mzuri wa mwaka mpya. Kazi kwako.

 

Views: 1347

Reply to This

Replies to This Discussion

Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kufika mwaka 2012. Nawatakia mema wadau wote ktk mwaka huu.

Hello....................

wadau mmeuona mwaka?  nawatakia kila la kheri

Mimi nawatakia heri ya mwaka mpya. Muwe na afya njema nyote, kwani afya ni kitu muhimu. Mengineyo Mungu ataamua mwenyewe!  

Mungu ni mwema na ni waajabu. Mwaka jana ulikuwa wa mafanikio pamoja na changamoto za hapa na pale, migomo vyuoni, mafuriko nakadhalika. Lakini ametuwezesha kuuona 2012, kama ulivyo mwaka mrefu atujalie tupate mafanikio katika yale tuyafanya, WANAKIJIJI WOTE NAWATAKIA MWAKA MPYA 2012 UWE WA BARAKA NA FANAKA NINYI NA FAMILIA ZENU.

MBARIKIWE SANA.

kweli mwaka jana ulikuwa mgumu sana kwa kila hali, wapo waliosalimu amri na kurudi walikotoka yani ki biashara ulikuwa mgumu kikazi, na kimaisha ki ujumla, kila kitu kilikuwa juu na kipo juu mpaka sasa, namuomba mungu atunusuru mwaka huu uwe wa mafanikio na sio kubaki tulipo sasa au kushuka kabisa chini, nawatakia heri ya mwaka mpya wana tulonge pamoja sana,,,,,

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*