Tulonge

UKIJUA RAFIKI YAKO WA DAMU ANATEMBEA NA MPENZI WAKO NA MAMBO MENGI ANAKUSAIDIA JE, UTASITISHA URAFIKI WAKATI ADA YA WATOTO WAKO ANA MPANGO WA KUKULIPIA?

HILO NALO MTACHANGIAJE MARAFIKI!

Views: 314

Reply to This

Replies to This Discussion

Hakitaeleweka hata kidogo. Mimi ni masikini jeuri,lazima nianzishe fujo mbaya. Bora aache kunisaidia kuliko kushare mpenzi.Anaweza kukuletea madhara zaidi kama magonjwa nk.
Mh....napita tu wajameni
NDUGU YANGU, AKIACHA KUKUSAIDIA C NDO UTAPATA HASARA? HIVI HUONI FAMILIA YAKO ITATEKETEA? LINDA FAMILIA BWANA... KAMA VP AENDELEE 2 AU WASEMAJE???
usipite tu... tunasubiri mchango wako ndugu!
hayo ndiyo maisha ya rafiki na yanahitaji uvumilivu hasaaa... ila vuta subira vurugu haitaleta maana. waweza ukaua hlf ukaishia jela huku nyuma jamaa kiulaini kama temba...!!!

Reply to Discussion

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*