walevi watatu walilewa sana wakakodi taxi. Mwenye taxi alipowaona wamelewa sana akawasha gari halafu akazima, akasema "tayari tumefika."
- Mlevi wa 1 akatoa pesa akampa.
- Mlevi wa 2 akamwambia "thank you"
- Mlevi wa 3 akampiga kibao akamwambia "Shenzi siku nyingine usiendeshe mbio, utakuja kutuuwa"..