Tulonge

Amerudi tena kwa jina la Robert Mujuni.  Hivyo wale marafikiz ake wa zamani hadi wapya anawasalimu sana.

 

 

Views: 603

Reply to This

Replies to This Discussion

Karibu, nakukumbuka tukiwa fotobaraza enzi hizo

Karibu tena mkwe! Za kupotea?

Kila nilipoiona picha nilijua tu, ni yule ambaye jina lake kulitamka inabidi uweumekunywa juice na kula mlenda, vinginevyo, waweza tukana au kuuma ulimi.

Yes ilikuwa Foto Baraza. Asante sana Tulonge
Hahahaha CHA nalirudisha jina tena

CHA the Omniscient said:

Kila nilipoiona picha nilijua tu, ni yule ambaye jina lake kulitamka inabidi uweumekunywa juice na kula mlenda, vinginevyo, waweza tukana au kuuma ulimi.

Mama mkwe hodiiiii

Mama Malaika said:
Karibu tena mkwe! Za kupotea?
Karibu hadi sebuleni mkwe. Ha haaa haaaaa.......Robert Mujuni said:
Mama mkwe hodiiiii

Mama Malaika said:
Karibu tena mkwe! Za kupotea?
Za kupotea nzuri mama mkwe.

KARIBU TENA BOB!

Asante sana eddie, heri ya mwaka mpya

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*