Tulonge

  • Huu mtindo umekuwa wa kuigwa na vijana kwa kisingizio kuwa wametambua jinsia zao.Ni utofauti mimi naomba kutofautina nao, kwani hii si tabia za kifrika,mbali ni za kuigwa kutoka nje............je mwaonaje mabingwa

Views: 874

Reply to This

Replies to This Discussion

Kwahiyo ukitambua jinsia zako ndo uzitumie isivyo halali? Ushoga  HAUFAI

mmmh..kama sijaelewa mada vileeeeeee.??

Hamnielewi jameni TV juzi ime2onyesha vijana wakifurahia tabia hizi bila kujali matokeo swali ni je vizazi vyetu vyaelekea wapi?

Wajinga. Ila umaskin ndo unafanya vijana wajiaribu. Lakin pia watoto wengine wanaingiliwa kinyume na maumbile tangu wakiwa watoto so wale wadudu wananyemvua mpaka anakua anaendelea na hal hyo.

du hii mada ngoja nirudi,

SHIDA ipo katika jamii kwamba , hii milango ya maingiliano wa mataifa,result leo this what so call - globalization- filamu chafu( blue) kuzagaa kwetu na kufundisha vitendo ovyo.

Watoto Like monkeys kwa wigo - result wanajiingiza na hili licha ya boy to boy kumbe girl to boy na girl to girl.

Kitendo chochote kiovu ukianza ndio mpaka .....

Nadhani,seriously kazi ya taasisi za kidini,jamii na serikali kwa upande wake ifanye juhudi kama si kulaani kwa nguvu.

Kule, U.S.A nimeona wanafanya treatment ya water-therapy kusaidia waathirika ya tendo hili,ili wakipoa kuwarejesha kwenye familia ambazo huwatenga kabisa,can u imagine.As if kama- SOBER HOUSE inavyosaidia kuelimisha na kuwapatia dawa ya vijana wanaoathirika na madawa ya kulevya hivi sasa.

INATIA UCHUNGU sasa ,jambo hili hasa ukiwa tayari ni baba au mama mwenye watoto...

''haya ni maumbile'' lakini yana tatanisha kusikia kwa wenzetu kuwa mashilika ya kijamii yana tilia mkazo yafuatwe,Hasa mpaka kwa Rais wa Marekani anaunga mkono  tabia hizi MAAJABU HAYA mwaona naje mabingwa?????

Kiukweli Ushoga Haufai Kabisa

huko si kuitambua jinsia yake manake ukiitambua utaitendea haki, hawa jamaa hawazitendei haki jinsia zao kinacho mfanya mtu aitwe mume tunakijua na yule aitwe mke tunakijua, hivyo ndio vinavyo mfanya mtu haitendee haki jinsia yake.

topic nzurii ila hujaipresent inavyotakiwa  nikipata chance nitarudii

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*