Tulonge

Nchini Uingereza kuna mume akabiriwa na shitaka mahamakani la kum-baka mkewe wa ndoa.

Kisa chenyewe kiko hivi; mume na mkewe walikuwa chumbani katika burudani (michezo ya kikubwa) ya hapa na pale mume akashindwa kuvumilia mzuka umempanda na kutaka kumuingilia mkewe kimwili kufanya tendo la ndoa lakini mke akamkatalia mumewe kuwa hajisikii kufanya tendo la ndoa. Mume baada ya kukataliwa na mkewe basi akaamua kumlazimisha mkewe na kumuingilia kwa nguvu. Na mke huyo asema mumewe kazidi kwani karibu miaka miwili sasa mumewe anakuwa anam-baka. Kesi kama hizi zimekuwepo kila wakati nchini Uingereza na waume mara nyingi kuhukumiwa kwa kubaka wake zao.

 

Haya kwa wadau wa Tulonge naomba kusikia toka kwenu....... Je, huu ni ubakaji????

 

Views: 1482

Reply to This

Replies to This Discussion

Ha haa haa haa.... Omary itabidi unipe zawadi. Chiswahili cha kuandika nilikisoma kwa juhudi zote, na bila shule ya TZ kamwe nisingejua kuandika kama hivi.

Huyu Mr Tulonge ujanja wa mjini tu kuongea cha Keko, siajabu akienda kwa babu na bibi anashikwa kigugumizi. Ha haa haa haa......

Ha ha ahaa..... jina la Baba Chanja limekukumbusha nini?? Mie nimelipata kwenye CD ya The Kilimanjaro Band (Wana Njenje), CD hiyo nilipewa Dar mwaka 2001.

Omary said:

hahahahahah mama umenichekesha Baba chanja!, halafu mama kwenye kuandika kiswahili unamshinda hata mr tulonge ila kuongea live dah! tulonge anakuacha njiapand maana tulonge anaongea kiswahili cha keko magurumbasi,mwanga lol weee hapo huambui kitu.

 

ulivyosema Baba chanja nikajuwa mambo ya kachiriii kachiri saga lol mambo ya njenje lol

 

hahahahah halafu nimekumbuka kitu ulimuona Alfan sikuzile pale makumbusho alivyokuwa na a

alikuwa na mama Chanja???? LOL....

Omary said:

hahahahah halafu nimekumbuka kitu ulimuona Alfan sikuzile pale makumbusho alivyokuwa na a

Ujue nimekuwa napewa zawadi CDs nyingi za nyimbo za Bands za kiswahili nijapo holiday TZ, watu wanaonipa CDs wanasema niki miss TZ niwe nasikiliza, na kweli imesaidia sana kabla ya hizi Swahili social networks hazijaanza (Fotobaraza & Tulonge). Hapa sasa nasikiliza wimbo Music Asili Yake Wapi wa Dr Remmy.

Omary said:

ulivyosema Baba chanja nikajuwa mambo ya kachiriii kachiri saga lol mambo ya njenje lol

 

Hahahaha,kiswahili cha keko!!!

Sijaona ubakaji hapo. Inakuwa vipi mme ambake mme? Kama wote wawili walikuwa wakicheza mchezo wa kikubwa na mmoja kazidiwa ni wajibu wa mwingine kuona na kumhurumia mwenza na kumhudumia. Itakuwa kitendo cha ajabu sana kwa wanandoa kusemana wamebakana. HAIINGII AKILINI.

Kweli kaka Lyehagi Mazuli Mhuli Jr @.Haiigii akilini  wala hata  kujaribu kuingia akilini.!

Sheria nyengine ni za kipumbavu sana.

sasa hapo kama ni kawaida yake mke kubakwa basi huyo mke anapenda kubakwa kwa nini mume anapojisikia mke anamchomolea? mume akitoka nje ya ndoa ataitwa mzinzi kweli?

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*