Tulonge

HIV NI KAUGONJWA ,SIFA, ULIMBUKENI, UJINGA AMA NI NINI?

HUYU ANAEITWA WEMA SEPETU KUTEMBEA NA WASANII WOTE?

NINAOWAJUA MIMI:-

1.MR BLUE       9.SHAROBARO (BOB JUNIOR|)

2.MADEE          YAANI TOO MUCH

3.KANUMBA     

4.DIAMOND

5.H BABA

6.JUMBE

8.KASSIM

Views: 7588

Reply to This

Replies to This Discussion

Halafu chakushangaza zaidi haoni aibu kujitangaza mbele ya jamii kuwa anatembea na mtu gani kwa sasa.Nimewahi msikia akijitangaza kutembea na Mr Blue then na Diamond kwenye baadhi ya Radio stations. Labda ana maana yake,tusimnyooshee vidole sana ukizingatia na sisi tuna madhambi yetu.

Binti yaelekea mrembo na bado mdogo navyomuona usoni ila anajiharibia sifa, anahusika na shughuli gani TZ maana ndio namsikia leo? Kwa mtazamo huu, nguvu kazi ya taifa ambayo ni vijana itaendelea kuteketea kwa AIDS kila dakika hadi hapo watu watapobadirisha tabia.

Ufisadi na AIDS vinaimaliza Tanzania jamani sio siri.

Huyu bint me naona ana mapepo ya uzinzi haana hao waliotajwa hapo nikidogo wapo wengine wengi b4 hajapata jina?!  me nafikiri ipo haja ya kumpeleka kwenye maombi maana bint anapotea mwenyewe anadai anaenda na wakati but i think wakati ndio unampita sasa tunamuona mwehu kwa mambo yake ya ajabu.
Mama huyu alikuwa ni Miss Tanzania 2006.Ila amekuwa na skendo mbovu mbovu toka alipopata huo umiss.Alishawahi kutiwa ndani na Kanumba (msanii wa filamu za kibongo) kwa kuvunja vioo vya gari yake. Vile vile hapa juzi ametiwa ndani tena kwa kutolea lugha chafu msanii/producer mmoja hapa Bongo. Ana skendo kibao chafu chafu.

Mama Malaika said:

Binti yaelekea mrembo na bado mdogo navyomuona usoni ila anajiharibia sifa, anahusika na shughuli gani TZ maana ndio namsikia leo? Kwa mtazamo huu, nguvu kazi ya taifa ambayo ni vijana itaendelea kuteketea kwa AIDS kila dakika hadi hapo watu watapobadirisha tabia.

Ufisadi na AIDS vinaimaliza Tanzania jamani sio siri.

Mwenzake Faraja Kota alikuwa mtulivu sana baada ya kushinda umiss Tz mwaka 2004.Hatimaye akaja kufunga ndoa na aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini Bw Lazaro Nyalandu. Waone hapo,kwa raha zao.

Asante sana Severn, binti mrembo kweli kweli ilipasa ajitulize

Severin said:

Asante sana Severn kwa kunifafanulia, kumbe alikuwa Miss Tanzania. Alikuwa na chance nzuri sana ya kutumia kipaji ila kwa mtaji huu sizani kama atasonga mbele. Namuonea huruma sana

Severin said:

Mama huyu alikuwa ni Miss Tanzania 2006.Ila amekuwa na skendo mbovu mbovu toka alipopata huo umiss.Alishawahi kutiwa ndani na Kanumba (msanii wa filamu za kibongo) kwa kuvunja vioo vya gari yake. Vile vile hapa juzi ametiwa ndani tena kwa kutolea lugha chafu msanii/producer mmoja hapa Bongo. Ana skendo kibao chafu chafu.

Mama Malaika said:

Binti yaelekea mrembo na bado mdogo navyomuona usoni ila anajiharibia sifa, anahusika na shughuli gani TZ maana ndio namsikia leo? Kwa mtazamo huu, nguvu kazi ya taifa ambayo ni vijana itaendelea kuteketea kwa AIDS kila dakika hadi hapo watu watapobadirisha tabia.

Ufisadi na AIDS vinaimaliza Tanzania jamani sio siri.

Jibu langu ni UJINGA, ULIMBUKENI, na SIFA. Mengine tutayaandika baadaye.

Siwezi kumlaumu wema juu ya hili analofanya ,kwani ni maisha yake ,pia na mwili ni wake.lkn hapa kuna tatizo la hivi vyombo vya habari [magazeti ya udaku]yamekuwa  yakiwafuatilia sana hawa wanaojita mastaa ,bila kujua wanawapaa watoto na vijana wa nchi hii tabia mbovu.

Waandishi ebu tuwaache kuwaandika hawa mastaa,na baadala yake tuandike habari za kukuza na kunyanyua taifa letu.ebu tuandike vifo vya mama wajawazito,athari za mabint kukweketwa na mijadala ya katiba ya jamhuri ya muungano na mengine mengi tu.

Watanzania walio wengi wanaishi vijijini ni wakulima na pia wengine ni wafugaji hawajui mbinu mbadala ktk shunghuli zao hizo ;ebu basi watuwatembele na kuwapa  elimu ya ufugaji na kilimo bora.

Hivi wema ni nani? ktk nchi hii na anamsaada gani na jamii,Nakumbuka rapa mmoja wa fm academia anaitwa kitokolala,rapa yake inasema hivi;walishindwa wa nyumba wenye kutoa ugali na .....

Sasa sisi kwa wema ni kina nani ikiwa wazazi wake wameshindwa, tumuache tu.

Tena leo nimeona kwenye gazeti kuwa amefumaniwa na Yusuph Mlela (Actor) guest house, wakati huo huo inasemekana ni mchumba wa Diamond.
Diamond amesha mvisha pete Wema. Hatuwezi jua jamani,ukute Wema ameamua kutuliza majeshi kwa Diamond. Na atakuwa mke mwema.

Reply to Discussion

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*