Tulonge

Ndugu wanakijiji nimeona ubishi mmoja mtandaoni.

Ni wa kuhusu mahindi meupe na yale ya njano (Yanga)

Kwa maoni yenu ni mahindi gani ni bora zaidi?

Kulinganisha utamu, ladha....uzuri wake katika mapishi, ikiwa katika njia tofauti kusagwa bila kukobolewa na kukobolewa?

Unga?  

Views: 577

Reply to This

Replies to This Discussion

Nitarudi tena japo sijatumia sana mahingi ya njano

Mimi ni shabiki sana wa Yanga, lazima niseme njano tu! Ha ha ha haaaaa....!!!!!

Ya njano yana "ladha" flani hivi.. kwa mapishi ya aina yoyote kutoa kuyachoma ndiyo cjui yanakuwaje.. kwa kifupi mi nayafagilia ya njano.. hahahaaa

Mbona hayo ya njano yamechanganya punje nyeupe???

Ukiona hivyo ujue meupe ndio mazuri zaidi maana hata ya njano yamekopa punje kibao nyeupe na hata ukiyamenya utakuta ndani ni meupe...hahahahaah

Reply to Discussion

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*