Tulonge

Dogo alitumwa na baba yake gazeti la tarehe 10 maana kuna habari ilikuwemo mule ya tarehe hiyo,basi dogo akaenda akakosa la tarehe kumi akakuta la tarehe tano akachukua mawili ya tarehe 5 afu akampelekea mshua! Mshua ee! We vp mbona umeniletea ya tarehe tano? Dogo anamwambia mzee 5+5=? Baaaasiiiii hiLo hapo! 

Views: 242

Replies to This Discussion

lol hapo nimemkubali dogo si mchezo ha ha ha ha mtani  napenda haya mambo mimi fanya mimi cheka sana wewe

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*