Tulonge

Masai alitongoza "dem", Wakati wapo "uwanjani" , dem akawa anamwonyesha Masai "maufundi na utundu wote" kwa kumuweka masai chini na "kumkatikia" Masai kuona vile akauliza;

MASAI ; Hifi nani ametongosamwensie ?

DEMU ; Wewe

MASAI ; Nani na toa ela?

DEMU ; Wewe!

MASAI ; Nani nalipa gesti?

DEMU ; Wewe!

MASAI ; "kwahasira" - Sasa? mbona wewe "nafanya " mimi?  we inakuwa ina kwepesha kwepesha yaa nini? mi napeleka kushoto we napeleka kulia.. TULIA WEWE EBO ?

Views: 613

Replies to This Discussion

This is hilarious! Ha haa haaa.....

Ha ha ha haa.. No comment!!

Hahahaahhaahhaaaaa mmasai hataki mautundu ya binti, nahisi alipepetwa sana.

Hahhhahhahhhahhaaaaaa Dixon wacha kunivunja mbavu mie!!

Hahaaaa... hakunaga mautundu huko.. HA ha ha ha aaa

Tulonge said:

Hahahaahhaahhaaaaa mmasai hataki mautundu ya binti, nahisi alipepetwa sana.

ha ha ha ha ha haaa dick bado haujaacha maneno yako ile mbovumbovu,?

hahahaahaa wewe dixon ni comedian kweli,.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*