Darasa moja la chuo kikuu inasemeka wanafunzi wake waliambiwa kuandika stori fupi tena zaidi ya fupi yenye maneno machache sana kuliko stori zote duniani.
Maelekezo ya test hiyo ilikuwa namna hii:
Andika hadithi fupi na hadithi hiyo iwe au ijumuishe maneno haya matatu yafuatayo:
1) Dini-(Religion).
2) Ujinsia-(Sexuality).
3) Siri-(Mystery).
Lifuatalo ni jibu la test hiyo fupi zaidi lililofanikiwa kujipatia A+ darasa zima:
"E Mungu mzuri,mimi nina mimba,nashangaa nani alifanya hivyo".
"Good God, I'm pregnant; I wonder who did it."!!!!!
Huyu akimaliza chuo atakuwa Profesa,hahahah.
Tags:
DUH KWELI HUYU MWANAFUNZI CHIBOKO
Mwanafunzi huyu inaonekana alikuwa very Genius.Napenda jinsi alivyochakachua Sexuality.
Duh..si mchezo..hapo mimi ningepata "F" tu hahaha
ALFAN MIMI NDO NINGERUKA NA SIFURI KABISAAAA HA HA HA HA
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by