Tulonge

A Good Girl Gives U

Happines, n

Bad Girl Gives U

Experience

Both R Essential In Life

So Enjoy Every

Girlfriend!

Views: 851

Replies to This Discussion

imetulia 100%

Wewe ungekua kakangu ungetafuta ukoo mwingine uhame ukoo wetu, bad gal unampeleka wapi?

Angela wewe ni Bad gal, tena sio tu bad gal, "very bad gal" ndomana umekubali 100%

Girlfriend! gives u ????

WEWE CRISTER NAJUA BADO MTOTO NA HAUJAPITIA MAPENZI BADO NA KAMA UMEPITIA BASI YA KITOTO YA BATA KAMPANDA KUKU, HAPO KAMA UMEMWELEWA VIZURI CHALII ANAMAANISHA MAANA YA MSICHANA MZURI AMBAYE ANAKUPA FURAHA NA MSICHANA MWENYE TABIA MBAYA AMBAYE ANAKUPA EXPERIENCE YA MAISHA KWA HIYO KWA VILE WOTE NI VIUMBE WA MWENYEZI MUNGU UNAPASWA KUWAFURAHIA. AU KAMA NIMEKOSEA WADAU NAOMBA MNISAIDIE MANAKE NAONA HUYU CRISTER ANANITAFUTA UBAYA WA BURE.

 

HALAFU WEWE CRISTER ACHA CHEZEA MIMI ANGALIA USIJE UKAENDA MUSOMA KWA MIGUU OHOOOOOO MIMI NI NAMBA NYINGINE NGOJA NIISHIE HAPA KWA VILE NI KOSA LAKO LA KWANZA.

Mwamba ngoma daima huvuta kwake kwaio sikubishii Angela, mi musoma kwa miguu siendi tena utanisindikiza wewe Airport na wakati huo umefanya booking na tiketi umelipia wewe!! alafu haya mambo ya kuitana watoto sio mazuri kabisaaaaa, natafuta mchumba mie, sa ukiniaribia kuwa mimi ni mtoto nani atanitaka? acha kabisa!!! Bad gal, ni bad gal tu usijitetee bana.

CHRISTER KUNA KITU UNANITAFUTA NAKUPA MASAA 24 UFUTE USEMI WAKO LA SIVYO TUSIJE KULAUMIANA, MIMI SI MKE MWENZIO TAFADHALI.

Hahahahahahahahahaaaa...... mke mwenzangu? mbona mimi sina mume wala mchumba wala boyfriend? labda km mumeo au mchumbako akinipenda, akinitongoza nitamkubali ili usemi wako utimie. ila uwe na uvumilivu wa kutosha maana........... mengine siwezi kuyaandika hapa nitakuinbox maana wadau wakisoma itakua sio.

tatizo ni kwamba nimesema ukweli ndomana hutaki kukubali ila ningesema uongo ungekubali, na mimi mama alishanikataza kudanganya

Namshukuru shemeji yangu pale kanielewa kuhusu kitu hii,na kuchukua bad gal Dada Christer haina maana ndio umeenda kuharibu maisha yako,hapa!!, kwani unaweza kuchukua Good gal akafika huko mbele ya safari akawa  bad gal bali very bad girl.

Bila kusahau kinyume chake.!.ukimchukua na ukawa na ukawa na uzoefu wa kuishi nae baada ya muda hutauona ubad girl bali utaona kinyume chake.

Tehetehe!

Hii kitu naweza kuiweka namna hii:

Msichana mbaya  simaanishi yule Ugly bali namaanisha mwenye tabia mbaya.Msichana anaweza akawa ni beautiful sana lakini akawa ndio hivyo bad gal,na mwingine anaweza kuwa hana ubeautiful kihivyo lakini  ni good gal.

Katika kipande hicho hapo juu nataka kumaanisha kwamba,wote wawili hawa bad gal na good gal wana faida kwako wewe kama boy/man.usidhani kwamba good gal ndie mwenye faida kupendwa,hapana, bali hata bad gal ana faida kibao kwako wewe ikiwemo kukupa uzoefu wa kukabiliana na maisha ya ndoa.yule ambaye hakuwahi kuwa na bad gal kimapenzi bali kazoea good gal tu,basi inakuwa ni vigumu kwake pindi anapokutana nae ghafla kwenye maisha yao ya ndoa,maana itakuwa ni vigumu kukabiliana na tabia zake na kushindwa kusikilizana n ahatimae kurekebishana.

Bad gal anarekebika sio kama mlima usiohamishika,lakini huwezi kumuona akirekebika ikiwa wewe huna uzoefu wa kukabiliana nae kihekima,hivyo utapata hasara sana kw akukosa kitu experience kutoka kwa bad gal,wewe utakachokuwa unakijua siku zote ni kupewa raha tu kutoka kwa good gal kitabia,na maisha mazuri ni kuzoea hali zote,yaani kupewa raha na kuikosa kuambulia experience,maana vitu hivi viwili kwenye maisha yako utavihitajia sana yaani kupewa raha na kupewa experience.

Navyo vitu hivi huwezi kuvita kutoka kwa good gal peke yake hana vitu hivi maana yeye atakupa kimoja nacho ni kukufurahisha kitabia zake,ama ile experiece ya kukabiliana na tabia mbaya hawezi kukupa kwani yeye hana tabia mbaya mpaka akupatie experience hiyo,itabidi wewe hii kitu uwe umeipata kutoka kwa aliye na tabia mbaya.

Na hawa wote wawili wana haki ya kupewa upendo wa love,love haiwi kwa mwenye tabia nzuri tu bali hata mwenye tabia mbaya nae pia ni mwenye kuhitajia Love,sababu love hii inaweza kuwa ndio mwokozi wake wa kubadili tabia zake na hatimae akakupa kitu cha pili (Happnines) baada ya kukupa kile cha kwanza (Experience).

mmmhh..Kuna ukweli mkubwa lakini mimi nikashagundua ni bad gal hizo mbio ninazotoka nazo mtanikamatia ukingoni...thetheteheteh

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*