Tulonge

Dear God,

Give Me The Wisdom To Understand My Boss.. ..

Give Me The Love To Forgive Him.. ..

Give Me The Patience To Understand His Deeds.. ..

But Dearest God Don’t Give The Power Because If You Give Me Power,
I WILL BREAK HIS HEAD.

Views: 488

Replies to This Discussion

hahahaa.. na ndiyo maana hajapewa hiyo power!

Hahaha maombi mazuri sana haya,maana hiyo nguvu ukiiomba ukapewa then ukamtandika boss wako,unamwaga unga hivi hivi.Bosi kama vipi anakuzengu bora uombe tu haya mawili ya mwanzo:

Wisdom To Understand him.na Love To Forgive Him.

hahahahahhaha! Huyo inaelekea ni mtata sana ndio maana jamaa anaomba busara,subira,uvumilivu na uwezo wa kumsamehe...thethetehetehete

Nahisi huyo boss atakuwa Mhindi tu....

hahahaaaaa! Mungu ana yeye anaangalia wa kuwapa power.

Huyu kweli Ddada Olivia akipewa power,alalaalaal,ataua maana hata na yeye anajijua mi mnoma.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*