Dear God,
Give Me The Wisdom To Understand My Boss.. ..
Give Me The Love To Forgive Him.. ..
Give Me The Patience To Understand His Deeds.. ..
But Dearest God Don’t Give The Power Because If You Give Me Power,
I WILL BREAK HIS HEAD.
Tags:
hahahaa.. na ndiyo maana hajapewa hiyo power!
Hahaha maombi mazuri sana haya,maana hiyo nguvu ukiiomba ukapewa then ukamtandika boss wako,unamwaga unga hivi hivi.Bosi kama vipi anakuzengu bora uombe tu haya mawili ya mwanzo:
Wisdom To Understand him.na Love To Forgive Him.
hahahahahhaha! Huyo inaelekea ni mtata sana ndio maana jamaa anaomba busara,subira,uvumilivu na uwezo wa kumsamehe...thethetehetehete
Nahisi huyo boss atakuwa Mhindi tu....
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by