Tulonge

Baba: Unamjua Edward Sokoine?
Mtoto: Hapana
Baba: Kenge wewe, zingatia masomo yako!
... Mtoto: Sawa baba. Na wewe unamjua John DungaDunga?
Baba: Simjui.
Mtoto: Kenge wewe, zingatia ndoa yako!

Views: 687

Replies to This Discussion

Hahhahhahaa madogo wa siku hz utadhani wanavutishwa bangi.

lol ha ha ha nimecheka hadi basi kweli hawa watoto wa .com ni noma

haha ha ha ngoma drooo walahi ndio maana situkani watoto wangu kabisaaa

Ndoa? duh, mtoto noumaaa.

hahaaaahhahahaa!! hili toto kweli chizi.

hahahaa...  John DUNGADUNGA...  usitukane Mamba kabla hujavuka mto... hahahahaa

Hahahahahah sasa huyu john dungadunga na ndoa ya baba inakuwaje?! au baba anadungiwa? hahahahah

hahahahahahaaaaaa

Ha haa haaa... siajabu baba mijicho ilimtoka kusikia John Dungadunga 

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*