Tulonge

Mchaga alipata ajali alipozinduka pale hospitali akauliza

"nipo wapi hapa?"

Nesi: umepata ajali, hapa upo hospitali. Bahati mbaya umekatika mkono.

Mchaga: Na je saa yangu ipo wapi ya Rolex?
Nesi: Ipo mzee.Pia mkeo na watoto wapo hapa kukufariji.
Mchaga: Yeuwi... Wamefunga duka?

Views: 716

Replies to This Discussion

Teh teh teh huu utani wa ngumi sasa

tehe teheee!! chezea mchaga na pesa wewe!!!

Chaga tribe hiyo!!!!

ha ha ha ha....jamaa kwenye pesa hana masihara kabisa teh teh teh...

hahahahahaaaa manka umefunga duka?

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*