mchungaji alikuwa anamuombea mtu mwenye pepo.
mchungaji; toka we pepo kwa jina la YESU
pepo; sitokii sitokii
mchungaji: nakuamuru umtoke huyu mtu ktk jina la yesu ..toka tokaa kwa jina la yesu..tokaaa
pepo: sitokii nimemuingia huyu mtu ili ashinde milioni mia moja..
mchungaji: toka wee pepo na uniingie mimi mara moja....
Tags:
ha ha ha lol kabadili uasemi fasta
Duh...hahaaaaaaaaaaaaa
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by