Tulonge

Katika hali isiyo ya kawaida.. Mama wa mtoto alijikuta akikusanya watu hukuwakiwa wanamcheka baada ya kumuadhibu mtoto wake kwa kosa la kukojoa kitandani.. ndipo mtoto alipokimbia barabari akilia huku akilalamika na kusema..

Mama unanionea tu.. mimi nimekojoa maramoja tu.. umenichapa hivi mbona KILA SIKU USIKU MNAPOKUWA MMELALA NA BABA .. BABA HUKUULIZA.. NIKOJOEEEE ? NA WEWE UNAJIBU KOJOA TU BABA .. KOJOA.. lakini hujawahi kumchapa hata sikumoja...

Views: 574

Replies to This Discussion

Hahahahhhaahaaaaa watoto wa uswahilini wanaweza kuumbua usipo kuwa nao makini.

ha haaa.daah,kweli watoto wasikuhizi ni balaa tena wajanja kupitiliza.

ha ha ha ha ha SIRI NJE duuh si mchezo  watoto bana ndio maana wazungu hawawachapi , wanawachapa kwa maneno tu..

Hahahahahaha,haya ndio matatizo ya kulala chumba kimoja na watoto....

HAHAHA HAHAHAA!! HUYU MTOTO HWA ALALI NASIKILIZA BABA NA MAMA WANAONGEA NINI.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*