Katika hali isiyo ya kawaida.. Mama wa mtoto alijikuta akikusanya watu hukuwakiwa wanamcheka baada ya kumuadhibu mtoto wake kwa kosa la kukojoa kitandani.. ndipo mtoto alipokimbia barabari akilia huku akilalamika na kusema..
Mama unanionea tu.. mimi nimekojoa maramoja tu.. umenichapa hivi mbona KILA SIKU USIKU MNAPOKUWA MMELALA NA BABA .. BABA HUKUULIZA.. NIKOJOEEEE ? NA WEWE UNAJIBU KOJOA TU BABA .. KOJOA.. lakini hujawahi kumchapa hata sikumoja...
Tags:
Hahahahhhaahaaaaa watoto wa uswahilini wanaweza kuumbua usipo kuwa nao makini.
ha haaa.daah,kweli watoto wasikuhizi ni balaa tena wajanja kupitiliza.
ha ha ha ha ha SIRI NJE duuh si mchezo watoto bana ndio maana wazungu hawawachapi , wanawachapa kwa maneno tu..
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by