Tulonge


Polisi alikuwa anamkimbiza mwizi
makaburini,mwizi alipochoka
akaamua kuvua nguo na kukaa
... ... juu
ya kaburi,polisi alipofika akamkuta
mwizi uchi juu ya kaburi ikabidi
amuulize.
Polisi:samahani hujamuona mwizi
hapa?
Mwizi:mie cjui maana nimezikwa
jana,labda uliza kaburi lile pale lina
mwezi sasa atakua anamjua
AHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA POLISI KUSHOTO KURIA NDUKIII

Views: 553

Replies to This Discussion

ha ha ha ha ha haaaa sawa dada,

Hahaahhahahhhhahahaa bila shaka polisi alivunja miguu.

 

dah nimecheka mtani nusu kujikojolea lol

ha haaa haaaa,pole mtani cheka unenepe wanguu,ha haaa@angela

Polisi alitoka ndukiii,h ah ahaa haa

Christer Christopher said:

Hahaahhahahhhhahahaa bila shaka polisi alivunja miguu.

 

Hahahahaaaa... huyo mwizi msomi.. hahahaaa

ha ha a hiyo kali

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*