Mwizi alimwona Tajiri mmoja akizikwa na vitu vya thamani, akasema kimoyomoyo; Usiku nakuja kuliiba Jeneza lote. Giza lilipofika akaenda kuiba lile Jeneza, sasa amelibeba yupo njiani akakutana na Polisi wa Doria, alipowakaribia akaanza kuzungumza kwa sauti; Mimi niliwaambia wanizike Morogoro wao wamenizika Dar es salaam.....sasa naenda mwenyewe huko Morogoro. Polisi kusikia hivyo, wote mbio kali.........
Je ungekuwa wewe usingekimbia hapa?
Tags:
Hahahaahhahaaaa askari muoga lazima atoke nduki kama hao, ila jasiri asinge kimbia wala nini.
ha ha ha ha hapo kama una moyo mdogo lazima lazima utoke nduki teh teh teh wewe dismasi acha urongo ungetoka nduki tu
hahaa.. hapo hakuna cha roho nyepesi wala nzito... lazima utoke nduki tu.. hahaaa
Kweli Dismas....hata uwe na roho ngumu kiasi gani, lazima ukimbie tu....labda uwe mwanga, unaye yajua mambo ya mizimu.
Hahahahahaha..akili sio nywele aisee..
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by