Tulonge

Mwizi alimwona Tajiri mmoja akizikwa na vitu vya thamani, akasema kimoyomoyo; Usiku nakuja kuliiba Jeneza lote. Giza lilipofika akaenda kuiba lile Jeneza, sasa amelibeba yupo njiani akakutana na Polisi wa Doria, alipowakaribia akaanza kuzungumza kwa sauti; Mimi niliwaambia wanizike Morogoro wao wamenizika Dar es salaam.....sasa naenda mwenyewe huko Morogoro. Polisi kusikia hivyo, wote mbio kali.........

Je ungekuwa wewe usingekimbia hapa?

Views: 662

Replies to This Discussion

Hahahaahhahaaaa askari muoga lazima atoke nduki kama hao, ila jasiri asinge kimbia wala nini.

ha ha ha ha hapo kama una moyo mdogo lazima lazima utoke nduki teh teh teh wewe dismasi acha urongo ungetoka nduki tu

hahaa.. hapo hakuna cha roho nyepesi wala nzito... lazima utoke nduki tu.. hahaaa

Kweli Dismas....hata uwe na roho ngumu kiasi gani, lazima ukimbie tu....labda  uwe mwanga, unaye yajua mambo ya mizimu.

Hahahahahaha..akili sio nywele aisee..

mimi nisingekaa, mtu katoka makaburini hata kama angekuwa msamalia mwema,

hahahaahahaaaa! nduki ni lazima, unacheza na kukutana na marehemu nini?

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*