Tulonge

mzungu alikwenda benki na nyani wake, akawakuta wabongo wapo nje akawaambia "mlindeni ndugu yenu"! wale wbongo wakachukia. yule mzungu alipoingia ndani wakampiga yule nyani mpaka wakamuua. Mzungu lipotoka nje akamkuta nyani wake kafa... akawafokea kwa nini mmemuua Nyani wangu"? wale wabongo wakamjibu HAYA NI MAMBO YA KINDUGU HAYAKUHUSU....."

Views: 588

Replies to This Discussion

Hahahahaa,imetulia sana yaani imekaa njema zaidi.Mimi sio kumuua nyani namharibia hata huyo mzungu,maana kwa msemo wake huo inaonekana ana dharau sana,kwa hiyo nimkata kidevu baada ya kumaliza na nyani.

asante mkuu, naumwa na mbavu nitaenda kuchekea hospitary,

Hahaahahahahahaaha! Dah jamaa walimkomoa huyo mzungu lkn bahati mbaya wamemuhukumu "ndugu" yao adhabu asiyostahili....

Ni kweli kabisa, wazungu wengi wanatufananisha na Manyani tu! na wewe Mkuu Chaoga unawasapoti tena?

Kazi kweli kweliiiiiiii

hahahaaaaa... lakini hawajamtendea haki kabisa huyo nyani... hahahahahaa Mambo ya kindugu hayo!! hahaha

Wazungu wanatuonea wivu tu!

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*