Tulonge

Kuwa uyaone!! familia Moja wapo wote sebuleni,
Baba akamtuma kijana akamchukulie viatu nje Dogo akagoma.
Baba akasema wewe muoga sana!
Dogo akavumilia akaenda kuchukuwa alivyorudi Baka akamchombeza mimi na Mama yako nani Muoga?
Dogo akasema ni wewe Baba, Mama akarukia ehee afadhali ila akaja na Swali Juu kwa nini unasema Baba Muoga?
Dogo akasema Baba akisafiri Mama analala Mwenyewe ila Mama ukisafiri Baba anamchukuwa Dada wanaenda kulala wote! sionaonaa Baba Muogaa sanaa..........!!!!!!

Views: 403

Replies to This Discussion

Hahahahahhaaaaa sipati picha nn kiliendelea hapo. Inaelekea mama alimtandika dingi stuli ya kichwa

ALA HAULALA DAH DOGO KAMA HUYU NDO NAYEMTAKA DAH ILA BABA KAZI ANAYO LOL UJUMBE UMEMFIKIA MUHUSIKA

hahahahhahahaa... Baba kaumbuka LIVE bila chenga...teheteheteheteh

Halafu brother Dixon uoga kama huo sio wa baba bwana,huu uoga wa mama.Hhahahahahh

Tehe, Dogo ameharibu khali ya hewa.

Huyu dogo hakujua alichokuwa analeta hapo... hahahahahahaaa

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*