Mwanafunzi wa darasa la pili alimuuliza mwalimu wake: hivi ukichanganya OMO na FOMA zitatoa POVU?. Mwalimu
akajibu kwa hasira: swali gani hilo la KIPUUZI? Lazima zitatoa POVU kwa sababu zote ni SABUNI. Mwanafunzi akamjibu: sasa wewe ndiye una majibu ya KIPUUZI. Zitatoaje POVU wakati haujaweka MAJI?
Tags:
Hahhahahaahahahahaahahaaaaaaaaaaaaa Denti kadata huyo.
Hahahahahaa... Hawa ndo wale waalimu wa BODA FASTA!!! hahahaaa
Hiyo kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ni kweli mimi nipo sawa na mwananfunzi kiukweli hata mimi ningemjibu hivohivo bravooo student unafaa kuishi na mimi niwe mama yako.
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by