Tulonge

Panya mmoja alikua akiwasumbua saaana wana kijiji fulani, basii siku moja wakaamua kumfundisha adamu panya huyo kwa kumwekea kipande cha nyama ya nguruwe chenye sumu kiwango. 
Mara mheshimiwa panya huyoooo,akaja, Mhhh,unajua ilitokea nini ndugu mdau?!.Hahahah, e bwana ukistaajabu ya Mussa utayaona ya filauni, panya hakula kile kipande cha nyama,akaamua kuwaachia wana kijiji bonge la notice, wanakijiji walipokuja wakakutana na   notice hiyo ikisema:
"Samahanii waislam huwaga hatuli nguruwe "

Na chalii_a.k.a_ILYA

Views: 335

Replies to This Discussion

Teheeeeeeeeeeeee

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*