Tulonge

MOSHI              = Mungu- Onyesha- Sehemu- Hela- Ilipo.

HIMO                = Hata- Ikipungua- Mungu- Ongeza.

MARANGU         = Mungu- Angalia- Raia- Ngawira- Utuhakikishie.

MAMBA             = Mungu- Ahidi- Mapesa- Bila- Ajila.

MWIKA              = Mungu- Wekeza- Ishara- Kwenye- Akaunti.

KILEMA             = Kristu- Imarisha- Leo- Elimu na Mapesa- Akauntini.

KIRUA               = Kristu- Imarisha- Riziki- Ujaze- Akaunti.

URU                  = Usitunyime- Riziki- Uchumi.

KIBOSHO           = Kila- Ikipungua- Baba- Ondoa- Siasa- Hela- Ongeza.

MACHAME       = Mungu- Atupe- Chanzo- Halisi- Ambacho- Mapesa ni Endelevu.

KISHIMUNDU    = Kwetu- Ikikosekana- Shilingi- Mungu- Nakuapia- Dunia- Utaichukia.

Views: 551

Replies to This Discussion

Unautani na watu wa huko wewe Chibiriti hahahhhahaaaaa

Shemeji zangu.

Kweli hawa jamaa hawana utani kwenye pesa aisee...hahahahhaha

hawa watani wangu ikiangusha funguo tu kwenye daladala utasikia heraangu hiyo aiseee

hahahaaaaaahaa!!! wewe CHIBIRITI WEWE, unaleta utani aisee.

@ Olivia, wewe mchaga nini? Wachaga shemeji zangu, nimeolea huko uchagani.....hivyo hawanifanyi kitu, kwani sio kweli wanapenda hela?

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*