Tulonge

MLOKOLE; ''zima mziki dini hainiruhusu kusikiliza nyimbo za kidunia kwa sababu wakati  wa YESU hakukuwa na radio''

Dereva tax akatii akazima halafu akasimamisha gari na kufungua mlango wa abiria! MLOKOLE; ''nini tena?'' DEREVA TAX: ''Wakati wa YESU hakukuwa na TAX shuka usubiri punda''

Views: 573

Replies to This Discussion

Teh teh kweli kampatia

Hahahahah jamani sikuwahi kupita hapa nataka kuzimia na kicheko

Hahahahahahahahahhaaaaaaaaaaaaa huyo dreva tax atakua sio mzima kbs, anapishana na hela?

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*