MLOKOLE; ''zima mziki dini hainiruhusu kusikiliza nyimbo za kidunia kwa sababu wakati wa YESU hakukuwa na radio''
Dereva tax akatii akazima halafu akasimamisha gari na kufungua mlango wa abiria! MLOKOLE; ''nini tena?'' DEREVA TAX: ''Wakati wa YESU hakukuwa na TAX shuka usubiri punda''