Tafadhali Ilani!
We are not responsible for any damage you inflict on yourself or others when you lose control while laughing hysterically.
Please ensure you are physically restrained when visiting this site.
Asanteni sana.
Tags:
Hahahhahaa amkuu naona unatoa onyo kabisa, lkn sidhani kama ni rahisi mtu ku-control kicheko. Utashangaa umejiachia hadi mbavu na mdomo vinauma hahahaaa
ha ha ha safi sana kaka il-ya....kabla hawajafungua hii site wahakikishe wamejiandaaa...
Habri ndio hiyo maana hapa kunaweza kukawa zaidi ya The Comedy,unacheka mpaka utumbo unaota sugu na misuli.
Hahahahahah! Hapa ni sehemu ya kuondolea stress na hasira za kazi...!
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by