wanasiasa 40 walipata ajali mbaya porini! mkulima mmoja akasogea kuwa -check na akaamua kuwazika wote! polisi walipofika eneo la ajali wakauliza "zipo wapi maiti" ? mkulima "nimezizika zote"polisi "una hakika walikuwa wamekufa wote"? mkulima akajibu, "WACHACHE WALIKUWA WANALALAMIKA KUWA HAWAJAFA, ILA SI UNAJUA WANASIASA WALIVYO WAONGO? MIE NIKAJUA WANADANGANYA TU"!....
Tags:
Hahahahaaaaaa nahisi mkulima alikua na hasira na wanasiasa.
Ha ha ha haaaaaaaaaaa......hata mimi ningefanya hivyo hivyo kama huyo mkulima!
hahahahahaha! Sitakaa niwe mwanasiasa asilani......!
hahaaaa.. wengine walikuwa wamevunjika kidole tu lakini jamaa kawazika wote... hahahahaaaaaa
Hhahahahaha1 Chaoga unajua ukiwa muongo na watu wakakujua kuwa ni muongo ikitokea siku ukasema ukweli hakuana atakayekuamini hata kidogo...Wanasiasa ndio walivyo porojo nyiiingi sana ndio maana jamaa kaona isiwe tabu ni kuwafukia tu...
Ha haa haaaa.... mkulima hakuamini ingawa bado wanapumua na kumuongelesha
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by