wazenji kwenye gwaride..yahee mguu kando mguu kati.. geuka bara geuka pemba..yahee mwili rejeshaaa...
Tags:
MySpace Tweet Facebook
Views: 592
teh teh wewe naona una hamu ya kutiwa makofi na wazenji
siyo makofi tu hata kuogeshwa na tindikali.
Ha ha ha ha haaaaaa.. Wakishika mwizi utasikia "yakheeee.. tangulia kituoni na nikukute umeshatoa viatu mwenyewe. mi napitia urojo kwanza..."
RSS
Welcome toTulonge
Sign Upor Sign In
Or sign in with:
© 2022 Created by Tulonge. Powered by
Badges | Report an Issue | Terms of Service
Please check your browser settings or contact your system administrator.