Jack: Where were you born?
Julius : South Africa …
Jack: Which part?
Julius : The whole body was born in South Africa .
Tags:
hahahahaaaa... lugha hiyo .. hahaaaa Julius alifikiri jack anamaanisha sehemu za mwili zilizaliwa sehemu tofauti tofauti za south africa.. hii kali.. hahahaaa
hahahahahahhaha...kwawkakwakwakwakwakwakwakwakwakwakwa...Hii tabia ya kutoana machozi kwakucheka muiache jamani...tehtehtehtehetehteeheteh...
Hhahahah hii chacha kali,ni nouma sana,unajua maswali mengine hayafai,mtu asha kwambia nimezaliwa Bondeni unamuuliza tena bondeni sehemu gani,sasa akufanyeje kama sio kukupa jibu hilo.Hahahahah
Hata hivyo amejitahidi kumjibu vzr. Angemwambia kichwa kilizaliwa Johannesburg, Mwili ulizaliwa Cape Town,halafu vikaenda kuunganishwa Pretoria. Ndipo akatokea Julius kamili.
HAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Tulonge said:
Hata hivyo amejitahidi kumjibu vzr. Angemwambia kichwa kilizaliwa Johannesburg, Mwili ulizaliwa Cape Town,halafu vikaenda kuunganishwa Pretoria. Ndipo akatokea Julius kamili.
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by