Tulonge

1. Hapo ilikuwa kidato cha 5 ndani ya class,nakumbuka sku ya kwanza au ya pili tu tumeingia school tukapewa mboko na katicha kamoja kanaitwa Mkilamwene a.k.a Soldier. Toka kushoto ni Dismas (Tulonge),Edwin,Nyawili,Twaha na aliye chuchumaa ni Kitindi.

2. Ilikuwa fainali ya kombe la mbuzi,nahisi tulikipiga na watoto wa form 4,nadhani tuliwachapa maana tulikuwa tunatisha saaana.

3. Hawa ni madenti wa six walikua wana-graduate. Hapo cc tulikuwa cha tano. Jamaa wa mbele kabisa aliyekaa chini ni marehemu Mwasampeta.Mungu amlaze pema peponi,amen.

4. Siwezi kusahau huu msuli jamani,kama kipindi cha kuharibika macho basi ilikuwa ni hiki cha kutumia taa ya chemli kusomea. Tulipata tabu sana.

5. Hapo tulikuwa katika msosi, nakumbuka ugali ulikuwa mbaya kweli.Maharage kama ya segerea.

6. Utozi tu wa sekondari,hakuna chochote. Hapo ni nje ya hall.

Views: 373

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*